Hakuna mwanadamu ambae hapendi kutembea kwa
kutumia miguu yake miwili Sasa swala siyo kutembea tu bali kutembea bila kuwa
na maumivu ya namna yeyote kwenye mwili wako,na njia pekee itakayo kuhakikishia
kuwa unaouwezo wa kutembea vizuri na hakuna changamoto yeyote ya miguu wala
joint.Sasa leo hii ungana name uweze kufahamu na kuelewa nini umuhimu wa mifupa
yako na viungo kwa ujumla.
Mfumo
mzima ambao unakuwerzesha wewe kutembea na kufanya shughuli zako zote za
kiuzalishaji na kutembea kwa ujumla inahusisha,viungo,mifupa,pamoja na misuli
sasa huwa hivi hupatwa changamoto na hapo ndipo maumivu yanapoanzia.Kwapamoja
tu tazame nini tafsiri sahihi ya joint na mifupa kwa ujula na madhara yake
husababishwa na nini,,
JOINT (KIUNGIO) huu ni muunganiko kati ya mfupa na
mfupa,ambao unakuwezesha wewe uweze kujongea au kutembea wakati
MFUPA huu ndio muundo dhabiti ambao kwanza kabisa
unakupa picha au muonekano halisi wa ubinadamu ambao unakazi nyingi pamoja na
kubeba misuli ya mwili wako,na kazi kubwa ya mifupa ni kuakikisha mwili wako
unatimia kama mwanadamu pamoja na viungo vyake,sasa vitu hivi huwa vinaathiriwa
tuweze kuona nini hasa kinachopelekea maumivu ya joint
kwa wlio wengi,na hasa watu wanao fanya mazoezi mara kwa mara hupelekea sana
kupata hizi athari au maumivu ya joint pamoja na mifupa,lakini pia wamama ambao
wako kipindi cha kukoma hedhi hupata sana hii changamoto ya mifupa kwenye kiuno na mgongo.,pia watu wazima sana hasa wazee hawa
miili yao huwa inaudhaifu mkubwa sana kwasababu yakukosa vitu vyakuweza
kusaidia afya zao kuwa sawa hali kadharika uzito mkubwa nao ni changamoto kubwa
kwenye swala la joint na mifupa kwani mwili
uzidiwa na uzito mkubwa wa mwili wako.
hivyo ni muhimu kupata elimu ya mifupa na
maungio kwa ujumla kuanzia uti wa mgongo hadi kwenye miguu, pingili za uti wa
mgongo zimegawanyika katika sehemu kuu tatu.
a. Pingili za uti wa mgongo sehemu za shingo, hii
sehemu endapo ikipata shida hupelekea mtu kuhisi maumivu kuanzia kwenye shingo
hadi mikono kufa ganzi na kushindwa kufanya kazi vizuri au mikono kupalalaizi
b. Kwenye mgongo, hii
humfanya mtu kushindwa hata kunyanyua baadhi ya mizigo au kusindwa kuinama
kabisa na muda mwingi hulazimika awe ameunyoosha tu mgongo bila kuukuja.
c. Na mwisho pingili sehemu ya kiuno, hii
ni sehemu muhimu sana pia kwenye mwili wa binadamu maana kama haitafanya kazi
vizuri husababisha madhara kama miguu kufa ngazi au kupooza kwa miguu au maumivu
kwenye nyonga
Tatizo
la maumivu ya viungo au mifupa kwa ujumla inakumba sana watu wazima hii ni
kutokana na kadili mtu anapozidi kuzeeka na mifupa hudhoofika na yenyewe ubora
wake japo hili tatizo linaweza kumpata mtu wa aina yoyote endapo tu asipokuwa
makini na afya yake, baadhi ya mambo yanayosababisha kupata maumivu ya mgongo
na magoti ni kama haya;
·
UZITO ULIOPITILIZA. Uzito wa mwili wa binadamu
hulemea kwenye uti wa mgongo hivyo mtu anapokuwa na uzito ulio mkubwa Zaidi ni
kirahisi sana huyu mtu kupata maumivu ya mgongo na hadi kwenye maungio kwa
ujumla hasa na magoti kwa sababu miguu huzidiwa uzito ulioko juu na kuyafanya
magoti kusangika au kumaliza ute ute uliko kwenye joints kwa haraka Zaidi.
·
VITI (SIT) VYA KUKALIA HASA VYA MAOFISINI NA KWENYE MAGARI. Zamani maofisini kulikuwa na viti vya mbao
maarufu kama office chair kwa utafiti unaonyesha kuwa viti vya maofisini vya
kisasa na za kwenye magari mtu anapokaa lazina kiti chenyewe kimfanya ajikuje
tu bila hata ya yeye kulazimishwa kujikuja sasa jiulize, ofisini unaukuja
mgongo, kwenye gari unaukuja mgongo, na wengine hadi nyumbani kuna makochi au
viti vya kumfanya tena aukuje mgongo je ndani ya miaka mitatu na kuendelea kwa
nini usipate maumivu ya mgongo?
·
KIFUA
KIKUU(TB), kwa ufupi maradhi kama ya TB hukimbilia kwenye mifupa
hasa kwenye maungio au joints na kwenda kudhoofisha gegedu (cartilage) na kupelekea mifupa kusagana kati ya mfupa
na mfupa
·
TEZI
DUME.
Nyoga, mgongo na tezi dume viko karibu sana endapo mtu atapata madhara ya tezi
dume kama vile kansa au madhara ya aina yoyote ni kirahisi sana kupata maumivu
ya nyonga au mgongo hii huwapata sana wanaume lakini siyo kila anaepata maumivu
ya nyonga na mgongo basi ana tezi dume no ni muhimu kufanya uchunguzi/vipimo..
·
UPUNGUFU WA MADINI YA CALCIUM. Na
hii ni tatizo kubwa mno maana calcium ndo kichochezi kikuu cha kuhakikisha
mifupa ikon a ubora wake ulio Imara Zaidi kwa upande wa wanawake hupoteza
calcium nyingi pale anapoanza kuja kwenye hedhi hadi pale anapoja kubeba mimba
mtoto nae anahitaji calcium kutoka kwa mama yake hivyo ndo maana wamama wengi
walio na umri ambao umeenda enda kidogo huteseka sana na miguu kuwaka moto hasa
kwenye magoti kwa sababu hupoteza calcium kwa wingi Zaidi.
MADHARA YAPI MTU MWENYE MAUMIVU YA MGONGO, MAGOTI NA VIUNGO
Kama
magari na vifaa vingine vinavyo zunguka kwa kutumia vilaishi mbalimbali pale
vinapokosa ubora wa kulainishwa huleta shida katika utendaji kazi wake na kila
tatizo huwa linatengemeana na kiasi gani limeathiri. hata katika upande wa
mifupa kwa mwanadamu na joints kwa ujumla pale inapokosa ubora mwathirika
hupatwa na moja ya changamoto kama zifuatazo;
i. Kukosa uwezo wa kihisia.
Asilimia kubwa mtu anapopatwa na changamoto za mifupa au kwenye maungio ya aina
yoyote swala la tendo la ndoa au kihisia kimapenzi hupotea na muda mwingine
hujawa na hasira za ajabu ajabu bila kujari au bila hata yay eye mwenye kujua
kama ana hasira.
ii. Ulemavu.
Kadiri mtu anapokuwa anaendelea kuzeeka kama tayari ana maumivu ya viungo ni
kirahisi kabisa kuja kuwa mlemavu wa viungo na wengine hushidwa kutembea au
kuinama hasa pale anapofikia umri wa kuanzia miaka ya 50+ na wengine huanza
kutembelea fimbo kumbe ni tatizo tu la kutokuwa na mifupa imara na iliyopoteza
ubaora wake.
iii. Kansa ya mifupa au wepesi wa uzito wa
mifupa. Mfupa au mifupa inatakiwa kuwa na uzito ulio standard
lakini kuligana na changamoto za hapa na pale pamoja na utumiaji wa madini ya
fluoride kwa wingi kutoka kwenye dawa za meno na kwenye maji na kutokupata vitamin D ya kutosha kutoka kwenye vyakula
mbalimbali mifupa ya mwanadamu huadhirika na inakuwa kirahisi kuvujika n ahata
ikivunjika vi vigumu au huchukua muda mrefu kujiunga na kuwa mhanga wa ugonjwa
wa mifupa.
SULUHISHO
tunafahamu
watu wengi husumbuka na hili tatizo la maumivu ya viungo tumekuandalia program
ambayo unapochukua jukumu la kuitumia inakupa manufaa mengi muhimu kwa afya
yako pamoja na;
·
Kuupatia virutubisho muhimu mwili
wako ili uweze kujenga afya imara
·
Kuongeza ute ute kwenye joint zako au viungo
vya mwili wako
·
Kuboresha misuli ya mwili pamoja
na mifupa
·
Kuwesha madini ya calcium kufyonzwa kirahisi
kwenye mifupa yako
·
Kuimarisha ubora wa mifupa ili kuepusha injury
zisizo za lazima.
NB,,Afya
hujengwa na ulaji mzuri wa vyakula hasa kwa kuzingatia lishe na virutubisho
muhimu katika afya na wala siyo madawa ya
kikemikali.
Kwa
yeyote ambae anauitaji wa kuitumia program hii
ili kuakikisha anajenga afya imara ya mwili wake hasa kwenye mfumo huu
unaomuwezesha kutembea bila maumivu yeyote wala kusumbuka na matatizo ya viungo
wasiliana nasi kwa namba.
+255752304044 whatssap /call
+255716211801 call only




2 Comentarios
Naomba kuipata dawa ya bawasili au dezi dume; tatizo langu ni kuipata choo ngumu tena Cha rangi ya kahawia, naumivj makali ya kiuno nikikaa zaidi ya dakika 15,kukojoa mkojo wa njano Sana na kuhisi kukojoa tana baada tu ya kutoka kukojoa, mkojo kufuatana na Ute unaoteleza na kutoa harufu mbaya baada ya tendo la ndoa, nachoka Sana Sana na kuhisi joto Kali mata nyingi wakati wa usiku,tumbo kuunguruma hasa asubuhi, na miguu kuuma nikitembea mwendo mrefu kidogo, nashindia kusimama muda mrefu. Nisaidie doctor WANGU.
ReplyDeleteNASHUKURU SANA DR NIMEFUNGUKA KIFIKRA! ENDELEA KUTUSAIDIA
ReplyDelete