AFYA YA TEZI DUME.(prostate)
Kwa uzoefu tu wengi wanaona aibu
kuzungumzia hali zao pengine ni swala la utamaduni au ni swala la maumbile, ila
ni kukosa ufahamu wa elimu juu ya hiki kiungo cha tezi dume kinapoaza kuleta
shida kwa mwananume kukaa kimya kwa kujiona wewe ni mwanaume hadi uumie ndo
useme yakupasa mwanaume ulimike ili usije ukawa mhanga wa kuwasumbua wengine
unao kaa nao, wengi wao hukataa na kujiona kuwa wako sawa na kuwaficha hadi
wake zao na wengi wao huona aibu kabisa kuzungumzia hili swala la tenzi dume.
fuatilia
mafunzo haya kwa kina ili ujue kuanzia kwa nini mwanaume anatezi dume ila
mwanamke kwa nini hana tezi.
·
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi
dume siyo ugonjwa bali ni moja ya tezi kama tezi
nyingine mwilini, Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume
katika shingo ya kibofu cha mkojo.
Kazi
yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo
husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na
hivyo mbegu za kiume kubaki hai kwa muda mrefu na unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza
kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu na kasi ya utanukaji wake
hutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine, Hili ni tatizo linalo wakumba
wanaume wengi kwa sasa.
Takwimu
zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 3 na kuendelea wana dalili za
kutanuka kwa Tezi dume.
NINI MAANA YA UKUAJI WA TEZI DUME?
Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe
chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili
katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo
hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25
na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa likijitokeza kuanzia miaka zaidi ya 45+.
Takwimu
kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha
kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na
saratani ya Tezi Dume, na mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati
33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani
hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.
II. VISABABISHI VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo
la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya
maisha wanaume wengi wanayoishi hasa katika kipindi hiki cha sasa. Pia na elimu
ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.
Vifuatavyo
ni vyanzo vinavyoweza kupelekea kutanuka kwa tezi dume
- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo ( Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Sababu za kimazingira (Ethnicity)
- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo ( Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Sababu za kimazingira (Ethnicity)
III.
DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Mtu
mwenye tatizo katika tezi huanza kwa dalili ndogo ndogo sana,
Mpaka
mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo
kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 5 hadi10.
Hii
hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo
(Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada
ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).
Saratani ziko aina (stage) nne.
Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza
kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki bali Unasaidiwa kupunguza
makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.
Hivyo
ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla
hujaharibu mfumo wako
mzima
wa uzazi wa mwanaume.
a) Dalili za awali
-
Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
-
Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
-
Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
-
Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
-
Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini
ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
-
Homa
-
Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
b)
Dalili za mtu
aliyeathirika
-
Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
-
Miguu kuwa dhaifu
-
Kushindwa kumudu tendo la ndoa , au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza
tendo la ndoa
-
Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
-
Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
-
Tumbo kuja gesi mara kwa mara
IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka
hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza
kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. Kipimo
hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama.
Lakini
kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya
wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo
kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na
seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa
tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo
tatizo hilo linamaanisha saratani.
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo
hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo
kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi
(Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa
(Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity
for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya
Tezi Dume
- Kifo
SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA
a)
Suluhisho Lisilopendwa
Watu
wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume na
kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo
hujirudia kwa kasi kubwa.
Tezi
iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba,
lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi
sana.
Lakini hapo awali vipimo vya haraka
unaingiziwa kidole sehemu ya haja kubwa ili kuangalia kuwa kama tenzi imetanuka
nah ii ndo kingezo kikubwa kwa kwa mwanaume kutokusema kuwa anatatizo la tezi
dume kwani hakuna mwanaume anaependa kuingiziwa kidole sehemu ya haja kubwa.
Japo kwa sasa wanazidi kuboresha vipimo unapimwa kwa damu ila gharama yake
wengi wanashidwa kuimudu.
Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
1.
Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:
Inashauriwa
kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali
kama madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia
mbadala.
2.
Madawa
“Baadhi
ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30
iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti.
Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”
–
Johnathon Waxman, Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London
3.
Upasuaji
Njia
hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada
ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja
ndogo.”
–
Johnathon Waxman
Inasikitisha
kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na
manufaa.
SULUHUSHO LA KUDUMU
Tafiti zinaonesha kuwa kutanuka kwa Tezi
dume kwa asilimia kubwa husababishwa na upungufu wa madini na virutubisho
ambavyo mwili unahitaji ili kuweza kuboresha afya ya Tezi na uzazi.
Upungufu
huu hupelekea kwa kiwango kikubwa kuongezeka kwa kasi ya kutanuka kwa tezi na
hatimaye Kansa ya Tezi dume.
Hivyo
basi program maalumu ya virutubisho (Supplements) imeandaliwa
Kwa
watu wenye changamoto hii na pia kwa watu wanaohitaji kuboresha na kuongeza
vitamins,Madini ambayo huondoa athari na dalili za kutanuka kwa Tezi Dume, na
mfumo wa uzazi mwanaume(Nguvu za kiume).
Virutubisho hivi sio dawa wala mitishamba.
Zimetengenezwa
kutoka kwenye organic materials au vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na
vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika mwili wa mwanaume ili
kutengeneza afya bora na nadhifu.
Virutubisho
hivi vina mchanganyiko wa vitu vifuavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid
and Trace minerals.
·
Kwa pamoja husaidia katika
kulinda utanukaji wa tezi dume
Kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya Bacteria na
virus ambao huweza kupelekea cancer ya tezi dume.
>> Husaidia
katika kuweka sawa kiwango cha sukari mwilini, kama vile uwepo wa SELENIUM katika virutubisho hivi husaidia katika
kuboresha utendaji kazi wa insulini mwilini. Hivyo kuthibiti kiwango cha sukari
na sumu mwilini.
>>Husaidia katika kuondoa
Cholesterol mbaya mwilini na hivyo kufungua mirija ya kibofu na hivyo kupata
haja ndogo vizuri.
>>Husaidia katika kuongeza uzalishaji wa mbegu za
kiume na kuboresha utendaji kazi wa mirija ya Tezi na hivyo kuimarisha utendaji
kazi wa tezi.
>>Huondoa maumivu, na kuongeza
nguvu.
>>Husaidia katika kuupa mwili nguvu, kuongeza
uzalishaji tishu katika mwili
Kuboresha
mzunguko wa damu, vitamins na madini
Na
kuongeza kiwangi cho uzalishaji mbegu kwa mwanaume.
Matumizi
bora ya Virutubisho ni muhimu sana katika kuboresha Afya ya uzazi kwa mwanaume
na kuondoa athari za Tezi Dume.
Hivyo
ukumbuke kuwa tezi dume kila mwanaume anayo basi ni vyema kuirida kwa ubora
Zaidi ya mboni ya jicho kwani ndo sababu ya kuitwa kidume unaweza ukawasiliana
na kampuni moja kwa moja kupata elimu pamoja nah ii program ya virutubisho ili
kuleta hesima ya ndoa.
+255752304044 whatsapp/call
NOTE: KUFANYIWA
UPASUAJI WA TEZI DUME SIYO SULUHISHO BALI UTAKOSA HATA UWEZO WA TENDO LA NDOA
NA KUPITA MKOJO BILA KUJIJUA.





17 Comentarios
Tutapata wapi hivyo virutubisho tuje kununua na ni Bei gani kwa dozi
ReplyDeletekaribu wasiliana nasi 0752304044
DeleteIt is a very nice article for us asante mwl wetu Mungu akubariki
ReplyDeletewelcome
DeleteI have learnt a lot on enlarged prostate gland through this paper, thank you very much, but, please, would you let me and other readers learn more on what types of additives or minerals that are needed in our bodies that can help us to fight against this problem?
ReplyDeletewelcome 0752304044
DeleteHabari Dr, hivyo virutubisho gharama yake ni Bei gani? Je naweza kupata kwenye maduka ya kawaida?
ReplyDelete0752304044
DeleteMiye nipo katavi, Nina tatizo la tezi dume, nimeacha kufuatilia matibabu baada ya litakuwa kukatwa nyama ya tezi dume(sindano maalum) inayopitishwa kwenye njia ya mkojo,kwa hiyo ninatumia sawa za kutibu mfereji wa mkojo, kwa Sasa natibu Moto kwanza, nikimaliza, nikufuate,baada ya kupata Bei.
ReplyDeletewasiliana kwa namba 0752304044
DeleteMbona hujibu maswali yetu? Virutubisho hivyo vinaitwaje? Na ni bei ngapi? Na ninavipataje?
ReplyDeletewasiliana kwa namba hii 0752304044
DeleteTunakushuru sana Dr.Kazimili kwa moyo wako mzuri wa kujitolea kutusaidia wanaume wenzio katika tatizo hili hatari la tezi dume Mungu akubariki sana Mimi binafsi nakuelewa kwanini unapata tabu kujibu maswali ya Bei na upatikanaji wa virutubisho ila nakuomba kwa wale ambao tunataka kutumia Kama Kinga tuomba utuelekeza namna ya kupata na hata Bei ili tujipange kununua Kinga ni Bora kuliko kusubiri tatizo tafadhari tusaidie kwa Hilo.Ahsante
ReplyDeletewasiliana kwa namba hii 0752304044
DeleteElimu nzuri sana.Wengi tunaumwa tunahitaji tiba.
ReplyDeletekaribu wasiliana nasi kwa namba zetu 0752304044
DeleteNashukuru Sana kwa kutuelimisha kuhusu tatizo hili la tezi dume maana linawatesa watu wengi ila gharama iko juu Sana wengi tunashindwa kuimudu.
ReplyDelete