FAHAMU KUHUSU VIDONDA
VYA TUMBO
( Abdominal Ulcers)
Hili limekuwa janga kubwa kwa watanzania walio
wengi kibaya zaidi wengi wao hawajui suluisho sahihi liko wapi na kuishia
kubaki sugu kwenye miili yao na kufikiri labda ni magonjwa ya maisha au
kurithi. Hivo jamii kubwa mpaka leo hii hawajui suluisho hasa la VIDONDA vya
tumbo ingawa ni hatari sana kwa afya.
Usisahau
kuwa zaidi ya asilimia 75 magonjwa yote ya
kiafya huanzia tumboni sasa ungana nami hapa uweze kujua ninichakufanya.
Vidonda
vya tumbo maana yake nini........
Hii
ni hali ya kuwa na vidonda au michubuko, majeraha ndani ya ule ukuta laini wa
tumbo lako la chakula (membrane)
NINI HUSABABISHA VIDONDA HIVI
Imekuwa
ikitafsiriwa na kila mtu kulingana na anavyodhania huko kwenye jamii zetu
kuhusu tatizo hili sasa leo ningependa ujue hali halisi na chanzo hasa cha
tatizo hili. Yako mambo mawili makubwa ambayo huleta vidonda vya tumbo.
1.Maambukizi
ya bacteria aitwayo H.pylori pamoja na
2.Utumiaji
madawa ya kupunguza maumivu (NSADs) kama
panadol, ibuprofen, diclofenac sasa kama huwa unatumia dawa hizi halafu tayari
ulikua na vidonda vya tumbo either ulikua unajijua au bado juwa wazi unaandaa
mazingira ya hatari zaidi tumboni kwako kwa sababu dawa hizi zitazidi kuharibu
mfumo wako wote wa digestive system (utumbo na ukuta wa tumbo la chakula) sasa
je utajuaje kama wewe ni mmoja ya watu wenye tatizo hili ungana nami kujua ni
zipi dalili za vidonda vya tumbo.
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
-Maumivu
ya tumbo yanayo choma -hapa tumbo huwa linaunguza sana hasa katikati lakini pia
karibu na kifua juu kabisa ya kitofu ikiambatana na kiungulia
-Tumbo kujaa gesi hili limekuwa tatizo
la watu wengi sana kiasi kwamba watu huzani kuwa ni kawaida lakini kumbe siyo
kweli pia huambatana na kusumbuka choo kubwa kuipata kwa shida
-Kutapika
hapa waliofikia hatua mbaya hufikia kipindi mpaka kutapika damu sasa dalili
hiyo ujue wazi kuwa vidonda vyako vimefikia mahala pabaya. Sasa wengi hufikiri
labda vidonda vya tumbo siyo tatizo kubwa na hii ni kwasababu hawajui madhara
hasa nini kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo
·
Kupata
choo/kinyesi cheusi. Hii husababisha na pale anapokuwa na tatizo la
kuvuja damu tumboni na kufanya atoe choo cheusi
·
Kuishiwa
nguvu za kiume. Asilimia wa kubwa ya wanaume waliothirika kwa
madonda ya tumbo wengi hupata changamoto pia za kupungukiwa kwa nguvu zao kwa
sababu damu hushindwa kufika ya kutosha kwenye mfumo mzima wa uzazi kuongeza
kiwango cha ujazo wa damu hivyo humfanya asiwe na uwezo wa kushiriki ipasavyo
tendo au kukosa hamu kabisa kutokana na maumivu anayoyapata .
·
Sehemu
za mwili kupata ganzi. Hii hutokana na damu pale inapokuwa
ikivuja tumboni inapelekea baadhi ya sehemu za mwili kukosa damu ya kutosha na
kufa ganzi au klutokufanya kazi ipasavyo.
·
Kichefuchefu
au kukosa hamu ya kula kabisa. mwathirika
wa madonda ya tumbo hukumbwa sana na changamoto ya kutokupata hamu
ya kula au kichefuchefu kwa sababu ya tindikali inapokuwa ikimwangika nyingi
mwilini mwake humpelekea kukosa kabisa hamu ya kula.
MADHARA
1.kutoboka
utumbo mdogo kama uliwai kuona au kuambiwa mtu alipoteza uhai kwasabu ya tatizo
hili basi ujue kuwa utumbo ulikwisha athiriwa pia na hii ni kwasababu ya acidi
kutumika ndivyo sivyo ndani ya mwili baada ya kupata vidonda vya tumbo
-Kupungua
uzito na hii ni kwasababu ya vyakula kushindwa kunyonywa ipasavyo ndani ya
mwili ndio maana choo kubwa pia inakuwa nyeusi au ya giza ,wako watasema
unamawazo au kuathirika kumbe shida ni Vidonda vya tumbo/digestive system
health
-Ni
rahisi kupata kansa ya utumbo kwasababu ya kuharibika kwa zile seli.
·
Kuumwa mgongo au kiuno
·
Kizunguzungu
·
Kukosa usingizi
·
Kuchoka bila sababu.
·
Kwa mwanamke kuharibika kwa mzunguko wa hedhi
Suluhisho ...
Imekuwa
mazowea sasa watu kuskia maumivu hayo na kuendelea kunywa dawa za maumivu bilakujua kuwa wanazidi kuhatarisha
zaidi kumbe ni bora hata ukatumia mboga za majani
zote, na kuacha kutumia kahawa kwakua ina caffeine lakini pia machungwa
na zabibu zina acidi nyingi hivo kama kupata unafuu zingatia hayo
SULUHISHO LA KUDUMU....
Kulingana
na uhalisia wa haya madonda ya tumbo yanavyosumbua na watu kutafuta ufumbuzi
kwa kubahatisha bahatisha tumekuandalia virutubisho ambavyo vingefaa kutumika
kila siku ili kuakikisha unarudisha afya imara na kuepukana na haya madawa ya
kikemikali pamoja na mitishamba kwani vyakula ndivyo nguzo sahihi kwa afya
yako.
Hivyo
kuna program ambayo inasaidia na kuimarisha vitu vingi mwili tuone faida
mojawapo zingine utazipata pale utakapokuwa na uhitaji na ukaichukua kuanza
kutumia nazo ni;
~
inasaidia kuondoa gesi tumboni na kukuimarishia uwezo wa kupata choo vizuri
~
inasaidia kuondoa sumu mwilini kuligana na utumiaji wa madawa yenye kemikali na
kuasiliwa na mazigira kwa ujumla
~
inajenga sehemu ya utumbo iliyojeruhiwa na wadudu au kemikali tumboni
~
inarudisha uwezo wa nguvu na hamu ya kula
Na
badae utakuwa unatumia vitu ambavyo umekatazwa kuwa usile na utaendelea na maisha
kama kawaida na vyakula.
Mwenye
kuitaji kuimarisha afya yake wasiliana nasi kwa namba.
Wasiliana
kwa kupiga au moja kwa moja whatsapp +255752304044
Jiunge
kwenye group la whatssap ujifunze Zaidi megine mengi.
GUSA HAPA UJIUNGE KWENYE GROUP LA AFYA






