FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO
UTANGULIZI
Hii
imekuwa changamoto kubwa sana kwa watu wengi halafu kibaya Zaidi wengi wao
hawajitambui mapema kama tayari wako nahii tatizo la madonda ya tumbo,na
hatimaye kupelekea matatizo makubwa Zaidi kiafya.Katika afya ya binadamu mfumo
wa njia ya chakula ukiusisha tumbo ni muhimu sana katika kuhakikisha kila mtu
anapata afya sahihi na kitu ambacho ulikuwa ukijui ni kwamba Zaidi ya asilimia 75%
magonjwa yote huanzia tumboni,na hii ni kwasababu afya zetu huimarishwa na
vyakula tulavyo hivyo kama mfumo mzima wa njia ya chakula hauko vizuri basi
inakuwa hatari kubwa sana ya kudhoofisha mwili na afya kwa ujumla.Baada ya
kufahamu hayo ni muhimu sasa sisi sote tuelewe nini tunamaanisha hasa
tunapozungumzia vidonda vya tumbo
hasa jinsi vinavyoweza kutokea,dalili zake na madhara kwa ujumla ili uweze
kudhibiti tatizo hili kukupata na kuliondoa kama uko nalo tayari.Tuanze na
maana harisi kwanza nini maana ya vidonda vya tumbo.
NINI MAANA YA VIDONDA VYA TUMBO NA HUSABABISHWAJE
Vidonda
vya tumbo hii ni ile hali yakuwa na vidonda au michubuko kwenye ukuta
(membrane) mwembamba na laini sana watumbo lako la chakula.Naviko vitu kadhaa
ambavyo huweza kusababisha changamoto hii ya vidonda katika tumbo lako la
chakula,sasa vifwatavyo ni mambo au sababu zinazopelekea mtu kupata vidonda vya
tumbo;
·
Helicobacter
pylori;huyu ni bacteria ambae ndie anaeleta maambukizi haya ya
vidonda vya tumbo inasemekana kuwa bacteria huyu tunaishi nae tumboni kwa
kipindi kirefu tu lakini mwisho wasiku huperekea madhara makubwa sana katika
kuathiri ukuta wat umbo lako la chakula na hatimaye kupata vidonda vya tumbo.
·
Matumizi
ya madawa ya kuondoa maumivu; tumekuwa tukiishi na kuyapa
sana kipaombele hasa haya madawa ya kikemikali sasa kitu ambacho unapaswa
kukifahamu sasa ni kwamba huu utumiaji wa madawa ya kupunguza maumivu kama
Panadol,ibuprofen,pamoaja na asprine kwa Zaidi ya asilimia 50% huchangia kupata
vidonda vya tumbo,na imekuwa mazowea sasa kichwa kikiuma kidogo unatafuta dawa
ya maumivu bila kujua unazidi kuhatarisha afya yako.
·
Mtindo
halisi wa kimaisha;hapa tunazungumzia sasa maisha ambayo
umeyachagua kuyaishi kwa namna moja au nyingine huweza kuchangia kupata vidonda
vya tumbo kama utumiaji wa madawa mfululizo,msongo mawazo na hasira kila wakati,kutumia
vyakula vyenye acid nyingi wakati tumbo liko empty au halina kitu kama
machungwa,kahawa,lakini pia huvutaji sigara nao unachangia pia wewe kupata
vidonda vya tumbo.Hizo ndizo sababu au makundi matatu makubwa humfanya mtu
aweze kupata vidonda vya tumbo ingawa ziko asilimia chache sana watu hupata
vidonda vyatumbo yabila sababu kufahamika lakini pia kwa asilimia chache watu
hupata vidonda vya tumbo kwasababu ya kurithi.Sasa ni muhimu hapa kuwa makini
na afya yako ili kuakikisha unadhibiti ipasavyo tatizo hili, kama nilivyosema
mwanzo wengi huwa ningumu kufahamu kama wako na hili tatizo kwa pamoja sasa
hebu tuone nini hasa dalili za vidonda vya tumbo ili ukiwa nazo basi uchukue
hatua kwa haraka;
DALILI
ZA VIDONDA VYA TUMBO
Ukiona
unadalili hizi tajwa hapo chini moja au Zaidi kwa muda kadhaa na ukuwai
kufikilia wala kuwaza kama labda kuna uhusiano na vidonda vya tumbo basi ni
vyema ukachukuwa hatuwa mapema;
-Maumivu
makali ya tumbo upande wa juu hii ni hali ambayo inawakuta watu wengi
sana na mara nyingi maumivu haya yaweza kuwa kuisi kama tumboni kunawaka moto
na kuungua sana au yakawa ya kuchoma Zaidi basi juwa wazi kuwa hizo ni dalili
za mwanzo za vidonda vya tumbo.
-Kiungulia
hii ni ile hali yakupata kiungulia na tumbo huwa lina jaa gas sana
kiasi kwamba hupelekea mtu kushindwa kujiskia vizuri kwa tumbo lake na mfumo
mzima wa njia ya chakula,sasa kitu kinachopelekea wewe upate kiungulia ni
kwasababu tu ya kiwango cha acid kinachozalishwa mwilini mwako ni kingi na
hakitumiki ipasavyo hivo ile acid inaunguza sehemu zile zenye vidonda au
michubuko katika ukuta wat umbo lako la chakula.
-Kupata
kichefufu,kutapika,na kuharisha hapa tunazungumzia kupata mchafuko wa
njia hii ya chakula moja kwa moja naivo kupelekea kupata kichefuchefu na kukosa
hamu ya kula kabisa kwasababu ya kutapika na kwenda chooni kwajili ya haja
kubwa ambayo kiasi kwamba inakumaliza mpaka nguvu za mwili.Pia hapa katika
kutapika kama vidonda vyako vimesha kuwa kwa kiasi kikubwa utaona mtu anatapika
damu basi ujue kuwa hatua uliyofikia unaitaji utatuzi wa uhakika.
-Kujihisi
tumbo limejaa wakati unakula hapa hupelekea mtu kushiba mapema nawakati
alikua na hamu ya chakula lakini chaajabu ndani ya masaa matatu baadae anapata
njaa kali basi ukiona hali hiyo maana yake kwamba tayari tumbo lake la chakula
limekwisha athiriwa na vidonda na malanyingi watu wa namna hii huwa wanasumbuka
sana na tatizo la tumbo kujaa gesi.
-Ukosefu
wa choo kubwa hali hii hutokana na tumbo au utumbo wako wa chakula
kushindwa kufanya kazi ipasavyo na kupelekea hata ukipata choo basi inakuwa ya
tabu au kukosa kabisa na wengine kupata choo kama cha mbuzi kigumu ,na
kiuharisia unatakiwa upate choo kubwa kulingana na idadi yamlo ulao
kilasiku,lakini imekuwa kawaida kwa mtu kupitiliza Zaidi ya siku mbila kupata
choo kubwa.Sasa hizo zote hapa ni dalili ambazo kwa namna moja huashilia kuwa
ukouwezekano mkubwa wa kuwa na tatizo hili la vidonda vya tumbo,lakini pia ni
muhimu sasa kufahamu kuwa haziishii tu kuwa dalili au viashiria vya madonda ya
tumbo bali pia hupelekea madhara makubwa sana katika afya yako yafwatayo hapo
ni matatizo au madhara yatokanayo na vidonda vya tumbo.
MADHARA YA KUWA NA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda
vya tumbo ni tatizo kubwa sana tu katika afya za watu walio wengi sio Tanzania
tu bali hata nchi zilizoendelea,na ndio maana tunaona watu wana kufa wengine
hufanyiwa mpaka oparesheni kwasababu ya vidonda vya tumbo ,na mfumo huu wa njia
ya chakula ndio husemekana kuwa uko na bacteria wengi sana wote wazuri na
wabaya sasa unapofanyiwa oparesheni basi unapelekea wadudu hawa wabaya
kujidharisha kwa wingi Zaidi na kuhatarisha afya yako,yafwatayo ni madhara ya
tokanayo na vidonda vya tumbo:
1.
Kujifunga
kwa utumbo mkubwa(obstruction) vidonda hivi vya tumbi
vikizidi huanza kuathiri pia utumbo mkubwa na mdogo ambapo pia hupelekea
madhaifu katika muundo mzima wa njia ya chakula kuanzia kuvunjwa vunjwa na
kuweza kunyonywa vizuri kwenye utumbo mdogo na hatimaye taka mwili zitolewe kwa
njia ya haja kubwa sasa utumbo unapojifunga unakuwa huwezi tena kuufanya huu
mtiriko uenda ipasavyo na mwisho kupelekea adhari nyingi kiafya.
2.
Kutoboka
kwa utumbo baada ya ukuta watumbo kupata vidonda ile acid inayozalishwa
tumboni mwako ili kuwezesha uvunjwaji wa chakula ili kiweze kufanya kazi
ipasavyo hutumika ndivyosivyo na kupelekea utumbo mkubwa kutoboka na kushindwa
kufanya kazi ipasavyo.
3.
Vidonda
vya koo pamoja na kutoka damu tunasema njia ya chakula huanzia
mdomoni mpaka njia ya haja kubwa hivo hawa bacteria ambao husababisha vidonda
tumboni ndio mwisho huja kuathiri mpaka kwenye koo lako la chakula na tunaona
watu wanapoteza maisha kwasababu ya cancer ya koo,lakini pia kupata choo yenye
damu hii yote kwasababu ya madhara ya vidonda vya tumbo kama hatuwa za haraka
na uhakika hazikuchukuliwa
4.
Kupungua
uzito tunasema mfumo wa njia ya chakula ndiko tunakoipatia afya
njema sasa kama tumbo halifanyi kazi ipasavyo basi swala la afya njema litakuwa
ni kitendawili, na ndio inapelekea watu kupoteza uzito au kupungua uzito siku
baada ya siku kiasi kwamba wengine hufikiri labda mtu yule kaathirika kumbe
mfumo tu haunyonyi lishe ipasavyo kutoka kwenye vyakula ulavyo kilasiku.Hivyo
kama nilivyoweza kusema mwanzo mfumo wa njia ya chakula ambao unahusisha tumbo
na ndilo ambalo linachangamoto kubwa sana ya kupata vidonda vya tumbo,hivyo ni
muhimu sasa kuchukua hatua na suluisho sahihi ili kuweza kujenga afya imara na
kama ujuavyo afya iko mala moja tu hivyo ni muhimu kuithamini,sasa tunaelekea
kipengere cha mwisho kuhusu vidonda vya tumbo.
SULUISHO KUHUSU VIDONDA VYA
TUMBO
Hili
tatizo la vidonda vya tumbo limekuwa tatizo kubwa na baadhi ya watu wanaamini
kuwa halina suluisho la moja kwa moja kulingana na jitihada walizofanya huko na
hali halisi walio nayo kwasasa.Sasa hii leo ni taarifa nzuri kwako,nia yetu ni
nzuri kuwasaidia watu wote waweze kuishi na afya imara na zenye ubora,na
unachopaswa kujuwa ni kwamba afya ya mwili inatokana na vyakula nasio madawa
wala mitishamba na ukiona mtu anafanyiwa upasuaji basi juwa wazi hilo siyo
suluisho ila nikujaribu kuokoa mtu huyu asije akapotea uhai,Tumekuandalia
suluisho sahihi la vidonda vya tumbo kwa alieathirika na mwenye kuitaji
kudhibiti tatizo hili lisimpate kwa kutumia programu yetu muhimu ambayo
imeandaliwa na mchanganyiko wa vyakula muhimu katika kujenga afya bora wakati
unapochukua jukumu la kuitumia hii program unapata manufaa yafuatayo
1. Kuondoa
athari za sumu zitokanazo na madawa ya kikemikali ambayo kwa namna moja au
nyingine ulishatumia kwenye maisha yako kama suluisho
2. Kudhibiti
aina yeyote ile ya maambukizi iwe kirusu,bacteria,fangasi au vimelea vya
magonjwa kama minyoo
3. Kuweka
uwiano mzuri wa bacteria wazuri na wabaya kwenye mwili wako
4. Kuongeza
na kuimarisha kinga ya mwili wako
5. Kuboresha
mfumo wako wa njia ya chakula pamoja kudhibiti tatizo la kupata choo kubwa kwa
shida
6. Kudhibiti
tatizo la kujaa gesi tumboni
7. Kusaidia
matumizi sahihi ya kiwango cha acidi kinachozalishwa mwilini ili kusaidia
kuvunjavunja chakula na kitumike ipasavyo
Sasa
kwa yeyote ambae anaitaji huduma hii yakutumia program yetu awasiliane nasi kwa
namba za simu +255752304044 Whatssap/call
NOTE; Bidhaa hizi siyo sawa, pia kwa program yoyote ya ulcers ni muhimu uitumie angalau kwa miezi 3. Etc





2 Comentarios
Asantee Dr wetu tumekupata
ReplyDeletekaribu
Delete