FAIDA NA MADHARA YA UTUMIAJI WA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO


MADHARA YA UTUMIAJI WA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO.

 Hakuna jambo Ambalo litakuwa na faida bila hasara, na kupanga uzazi ni jambo la msingi katika hali za maisha, lakini shida inakuja kuwa hizo njia unazotumia zikoje na hii ni changamoto ambayp inasumbua kidunia jinsi gani ya kuweza kupanga uzazi bila kuwa na madhara ya kiafya. kumbuka kupanga uzazi siyo jambo mbaya shida pale inapokuja kuadhiri kwenye upande wa afya hasa kwa wanawake maana hawa ndo waathirika wakuu hasa pale unapokuja kuanza kutafuta mtoto na mtoto asipatikane lakini ni muhimu kujiuliza haya maswali kabla ya kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango,
faida ni zipi pale unapotumia njia za uzazi wa mpango?,
madhara ya kutumia njia za uzazi wa mpango?,
 je ukishapata madhara njia za kuja kutatua ni zipi?
 Watu wengi wanaangalia faida ya muda huo aliopo ambayo kubwa kabisa ni hii hapa chini.
*FAIDA ZA UTUMIAJI WA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO.
Faida kuu hapa ni kuweza kupangilia ukuaji wa watoto wako na kuwa na mpangilio wa familia ambayo ndo inaunganisha hadi maswala ya jinsi gani ujisongeze kwenye swala la kiuchumi.japo swala la upangaji wa uzazi wa mpango ni jambo ambalo limeanza karine za hivyi punde. Lakini pia utumiaji wa njia za uzazi wa mpago zinasababisha madhara mengi kwa sababu huwa zinaurisha mwili kwa kemikali ambayo kwa badae hizo kemikali husababisha madhara mwilini
MADHARA YA UTUMIAJI WA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO.

Hakuna njia kati ya hizo tatu ambayo isyo na madhara mwilini kwa mtumiaji na hadi kwa kiumbe kingine kinachotarajiwa kije kizaliwe baada kutumia uzazi wa mpango.
a.    Kuvurungika kwa mpangilio/mzunguko wa hedhi pale atakapositisha kutumia, nah ii inapelea kuvurunga kwa homoni mwilini
b.    Magonjwa ya mara kwa mara hasa maumivu ya kichwa , kichefu chefu na maumivu ya tumbo na kiuno
c.    Kuziba kwa mirija ya uzazi au kupatwa kwa uvimbe tumboni (fibroids). Na hii hali mtu ikishampata muadhirika kwa hospital njia rahisi ni kufanyiwa upasuaji tu.
d.    Kutokwa na uchafu ukeni.
e.    Na wengine hawapati ujauzito hata baada ya kusitisha kutumia hizo njia.
f.     Kupoteza hamu ya tendo la ndoa na wengine hata kama ukikesha nae mwezio hafiki kileleni
g.    Kuadhiri ubongo na kuwa mtu wa hasira hasira bila hata sababu
h.    Kuadhiri umbile kujinenepea au kukondeana Zaidi
i.      Na muda mwingine huadhiri hadi kwa mtoto anaezaliwa
j.      Kuwachukia wanaume na kujiona yeye anajitoshereza kila kitu.N.K
Nahisi umeweza kuona madara ndo yako mengi kuliko faida simanishi kuwa watu waache kutumia uzazi wa mpango bali lengo kuu ni kuweza kuwasaidia ambao tayari wameshaadhirika na hali hii tayari waweze kujua kuwa nini kimetokea kwenye miili yao wapo wengi wamekosa tumaini la kuweza kutatua hizo changamoto na wengine kutengwa na familia zao kisa wanakuwa hawana uwezo wa kuzaa au kupelekea kuondolewa mfuko wa uzazi (uterus) kabisa endapo utaonekana umeadhirika tumaini la suluhisho lipo endelea kufutilia nakala hii.
TUMAINI AU SULUHISHO LA UHAKIKA LIPO

unachopaswa kwanza kabla ya kuanza kutafuta mtoto unapaswa kufanya (cleasing,and detoxification) kwenye mwili au kuondoa sumu mwilini au kemikali ili kiuweza kuweka usafi wa mwili wengine wanapositisha kutumia hizo njia za uzazi moja kwa moja wanaaza kutafuta njia za kuweza kupata mtoto yaani kujamiana ili kutungisha mimba ndo maana hata mimba muda mwingine inaweza kutungwa na ikatoka au kusitungwe kwa mimba kabisa. Kwa sababu dani ya mwili hakuna uhusiano wa kuweza kulea kiumbe hai hivyo unatakiwa uandae kwanza mazingra ya kukaribisha kiumbe cha dhamani au kumkarisha mtoto katika mazingira safi na njia iliyo salama kwa kuimarisha nyumba ya mtoto kabla ya kutunga mimba ni kufanya maadalizi yafuatayo:
 Hapo swala la kutumia virutubisho ndo linaingia kati maana hata hospital kuna asilimia chache sana wa kuweza kutoa sumu au kukusaidia upunguze uzito, faida za virutubisho kwa kumsaidia huyu mwenye changamoto ni kama zifuatavyo;
·         Zinasaidia kuondoa sumu mwilini
·         Zinasaidia kubalansi kiwango sawa cha homoni na kukupa mpangilio mzuri wa hedhi na kudhibiti maumivu ya aina yoyote.
·         Zinakupa hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kuwa unafika kileleni kwa wakati
·         Zinazibua mirija iliyoziba na kushirinkisha vimbe
·         Na kwa ujumla virutubisho hivi vinakupa kinga ya mwili na afya njema kwenye sehemu uliyopungukiwa zenyewe zinakuongezea kuwa imara Zaidi.
 Unapenda uimarishe afya yako kwa kutumia hii program au ushauri wa afya tunaweza wasiliana kwa mawasiliano
+255752304044 whatssap/call

N.B MLIZI WA AFYA YAKO NI WEWE MWENYEWE




0 Comentarios