TUMBO KUJAA GESI NA
KUPATA CHOO KWA SHIDA/KIGUMU
Hali
hii inasumbua watu wengi kwa sababu wengi wao huona ni jambo la kawaida
kutokana na kuizoea lakini huenda hawajui inaweza ikasababisha madhara gani
katika mwili wao, kuanzia leo hii fahamu kuwa tumbo kujaa gesi au kushidwa
kupata choo siyo jamo la kuchukulia kawaida kwani madhara yake ni makubwa Zaidi
ya magonjwa ya kansa, kimsingi kama unakula mara tatu na choo unatakiwa upate
mara tatu kwa kutwa na kiwe saizi ya ndizi, kisitoe
harufu wala kisiwe kama cha mbuzi na usitumie nguvu.
Leo
elimu ya vyakula imekuwa ni shida kabisa kuna baddhi ya vyakula ukivutumia kwa
wingi Zaidi usishangae usiwe unapata choo au ukapata mara moja kwa siku tuone
nini madhara ya tumbo kujaa gesi au kupata choo kigumu.
MADHARA YA TUMBO KUJAA GESI AU KUTOKUPATA CHOO
Mwili
wa binadamu ambae ni mtu mzima anakuwa na bakteria kwenye utumbo wake kama 2kg ambao ni wazuri na wabaya na kiafya inapaswa
bakteria wazuri wazuri wawe 85% na wabaya 15% ikitokea uliganifu huu umeleta tatizo ndo inampelekea
mtu tumbo kujaa gesi na kushidwa kupata choo kuligana na idadi ya jinsi
anavyokula na itakuwa kirahisi kupata maradhi nyemelezi kama vile;
·
Kansa ya utumbo
·
Mzunguko wa hedhi kuchaganya au kupata maumivu.
·
Kukosa hamu ya tendo la ndoa
·
Maumivu ya viungo au kichwa mara kwa mara
·
Kunenepa ovyo ovyo
·
Kuishiwa nguvu za kiume
·
Inachochea kupata fibroids au vimbe vya uzazi
kwa mwanamke
·
Kuwa na kitambi hata kama mwili wako ni
mwembamba
·
Ni kirahisi kupata vimbe sehemu ya haja
kubwa(bawasiri)
·
Kukosa hamu ya kula
·
Vidonda vya tumbo
·
U.T.I sugu na typhoid
·
Ngiri au hernia
·
Kupoteza kumbukumbu
·
Ni kirahisi sana kuugua kisukali,presha n.k
Je
wewe leo hii umekuwa ukiteseka na changamoto mojawapo ambazo tumeweza kuzitoa
hapo juu na uzuri mojawapo tumeweza kuelezea kila changamoto kwa kina kwenye
blogu yetu ya NUTRIJOJU GLOBAL HEALTH kwa
upana Zaidi
SULUHISHO
Kula
matunda kwa wingi kuligana na kundi lako la damu ni muhimu Zaidi kwani
itakufanya uwe unapata choo na kama mtu ukipata choo siyo kirahisi tumbo kujaa
gesi, kunywa maji mengi kila siku yanayoendana na uzito wako,kufanya mazoeziya
viungo na kuna wengine ambao hali kama hii haiwezi kutatuliwa kwa kula hivyo
vitu na imeshakuwa sugu Zaidi kampuni imeweza kuandaa suluhisho la program
ambayo inasaidia kufanya mambo kama haya
_
inasaidia kubalansi wadudu wazuri na wabaya ili kukufanya tumbo lisiwe
linaunguruma
_
inasaidi kuondoa mrundikano wa sumu mwilini ambazo husababishwa na tumbo kujaa
gesina sumu zikiwa nyingi hata mwili hukosa nguvu
_
inasaidia uweze kupata choo chenye sifa na kinachoshaini.
_
inakupa kinga ya mwili ili hali hiyo isiwe ya kujirudia rudia kila mara na
megine mengi Zaidi
Kama
umeguswa na unahitaji kuimarisha afya yako na kwa upana Zaidi aunkwa kutumia
program hii wasiliana nasi kwa namba
Ø +255752304044 call /whatssap
Ø +255716211801 call only
N.B
doctor wa kwanza wa afya yako ni wewe mwenyewe wala si mtu mwingine jenga mwili
wako naturally na huepuke kupigwa bomba ili kupata choo tu.
GUSA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP GROUP KWA MWONGOZO ZAIDI
GUSA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP GROUP KWA MWONGOZO ZAIDI


0 Comentarios