MAUMIVU YA VIUNGO (JOINTS PAINS)



Hakuna mwanadamu ambae hapendi kutembea kwa kutumia miguu yake miwili Sasa swala siyo kutembea tu bali kutembea bila kuwa na maumivu ya namna yeyote kwenye mwili wako,na njia pekee itakayo kuhakikishia kuwa unaouwezo wa kutembea vizuri na hakuna changamoto yeyote ya miguu wala joint.Sasa leo hii ungana name uweze kufahamu na kuelewa nini umuhimu wa mifupa yako na viungo kwa ujumla.
Mfumo mzima ambao unakuwerzesha wewe kutembea na kufanya shughuli zako zote za kiuzalishaji na kutembea kwa ujumla inahusisha,viungo,mifupa,pamoja na misuli sasa huwa hivi hupatwa changamoto na hapo ndipo maumivu yanapoanzia.Kwapamoja tu tazame nini tafsiri sahihi ya joint na mifupa kwa ujula na madhara yake husababishwa na nini,,
JOINT (KIUNGIO) huu ni muunganiko kati ya mfupa na mfupa,ambao unakuwezesha wewe uweze kujongea au kutembea  wakati
MFUPA huu ndio muundo dhabiti ambao kwanza kabisa unakupa picha au muonekano halisi wa ubinadamu ambao unakazi nyingi pamoja na kubeba misuli ya mwili wako,na kazi kubwa ya mifupa ni kuakikisha mwili wako unatimia kama mwanadamu pamoja na viungo vyake,sasa vitu hivi huwa vinaathiriwa tuweze kuona nini hasa kinachopelekea maumivu ya joint kwa wlio wengi,na hasa watu wanao fanya mazoezi mara kwa mara hupelekea sana kupata hizi athari au maumivu ya joint pamoja na mifupa,lakini pia wamama ambao wako kipindi cha kukoma hedhi hupata sana hii changamoto ya mifupa kwenye kiuno na mgongo.,pia watu wazima sana hasa wazee hawa miili yao huwa inaudhaifu mkubwa sana kwasababu yakukosa vitu vyakuweza kusaidia afya zao kuwa sawa hali kadharika uzito mkubwa nao ni changamoto kubwa kwenye swala la joint na mifupa kwani mwili uzidiwa na uzito mkubwa wa mwili wako.
hivyo ni muhimu kupata elimu ya mifupa na maungio kwa ujumla kuanzia uti wa mgongo hadi kwenye miguu, pingili za uti wa mgongo zimegawanyika katika sehemu kuu tatu.
a.    Pingili za uti wa mgongo sehemu za shingo, hii sehemu endapo ikipata shida hupelekea mtu kuhisi maumivu kuanzia kwenye shingo hadi mikono kufa ganzi na kushindwa kufanya kazi vizuri au mikono kupalalaizi
b.    Kwenye mgongo, hii humfanya mtu kushindwa hata kunyanyua baadhi ya mizigo au kusindwa kuinama kabisa na muda mwingi hulazimika awe ameunyoosha tu mgongo bila kuukuja.
c.    Na mwisho pingili sehemu ya kiuno, hii ni sehemu muhimu sana pia kwenye mwili wa binadamu maana kama haitafanya kazi vizuri husababisha madhara kama miguu kufa ngazi au kupooza kwa miguu au maumivu kwenye nyonga

Tatizo la maumivu ya viungo au mifupa kwa ujumla inakumba sana watu wazima hii ni kutokana na kadili mtu anapozidi kuzeeka na mifupa hudhoofika na yenyewe ubora wake japo hili tatizo linaweza kumpata mtu wa aina yoyote endapo tu asipokuwa makini na afya yake, baadhi ya mambo yanayosababisha kupata maumivu ya mgongo na magoti ni kama haya;
·         UZITO ULIOPITILIZA. Uzito wa mwili wa binadamu hulemea kwenye uti wa mgongo hivyo mtu anapokuwa na uzito ulio mkubwa Zaidi ni kirahisi sana huyu mtu kupata maumivu ya mgongo na hadi kwenye maungio kwa ujumla hasa na magoti kwa sababu miguu huzidiwa uzito ulioko juu na kuyafanya magoti kusangika au kumaliza ute ute uliko kwenye joints kwa haraka Zaidi.

·         VITI (SIT) VYA KUKALIA HASA VYA MAOFISINI NA KWENYE MAGARI. Zamani maofisini kulikuwa na viti vya mbao maarufu kama office chair kwa utafiti unaonyesha kuwa viti vya maofisini vya kisasa na za kwenye magari mtu anapokaa lazina kiti chenyewe kimfanya ajikuje tu bila hata ya yeye kulazimishwa kujikuja sasa jiulize, ofisini unaukuja mgongo, kwenye gari unaukuja mgongo, na wengine hadi nyumbani kuna makochi au viti vya kumfanya tena aukuje mgongo je ndani ya miaka mitatu na kuendelea kwa nini usipate maumivu ya mgongo?
·         KIFUA KIKUU(TB), kwa ufupi maradhi kama ya TB hukimbilia kwenye mifupa hasa kwenye maungio au joints na kwenda kudhoofisha gegedu (cartilage) na kupelekea mifupa kusagana kati ya mfupa na mfupa
·         TEZI DUME. Nyoga, mgongo na tezi dume viko karibu sana endapo mtu atapata madhara ya tezi dume kama vile kansa au madhara ya aina yoyote ni kirahisi sana kupata maumivu ya nyonga au mgongo hii huwapata sana wanaume lakini siyo kila anaepata maumivu ya nyonga na mgongo basi ana tezi dume no ni muhimu kufanya uchunguzi/vipimo..
·         UPUNGUFU WA MADINI YA CALCIUM. Na hii ni tatizo kubwa mno maana calcium ndo kichochezi kikuu cha kuhakikisha mifupa ikon a ubora wake ulio Imara Zaidi kwa upande wa wanawake hupoteza calcium nyingi pale anapoanza kuja kwenye hedhi hadi pale anapoja kubeba mimba mtoto nae anahitaji calcium kutoka kwa mama yake hivyo ndo maana wamama wengi walio na umri ambao umeenda enda kidogo huteseka sana na miguu kuwaka moto hasa kwenye magoti kwa sababu hupoteza calcium kwa wingi Zaidi.
MADHARA YAPI MTU MWENYE MAUMIVU YA MGONGO, MAGOTI NA VIUNGO
Kama magari na vifaa vingine vinavyo zunguka kwa kutumia vilaishi mbalimbali pale vinapokosa ubora wa kulainishwa huleta shida katika utendaji kazi wake na kila tatizo huwa linatengemeana na kiasi gani limeathiri. hata katika upande wa mifupa kwa mwanadamu na joints kwa ujumla pale inapokosa ubora mwathirika hupatwa na moja ya changamoto kama zifuatazo;
i.      Kukosa uwezo wa kihisia. Asilimia kubwa mtu anapopatwa na changamoto za mifupa au kwenye maungio ya aina yoyote swala la tendo la ndoa au kihisia kimapenzi hupotea na muda mwingine hujawa na hasira za ajabu ajabu bila kujari au bila hata yay eye mwenye kujua kama ana hasira.
ii.    Ulemavu. Kadiri mtu anapokuwa anaendelea kuzeeka kama tayari ana maumivu ya viungo ni kirahisi kabisa kuja kuwa mlemavu wa viungo na wengine hushidwa kutembea au kuinama hasa pale anapofikia umri wa kuanzia miaka ya 50+ na wengine huanza kutembelea fimbo kumbe ni tatizo tu la kutokuwa na mifupa imara na iliyopoteza ubaora wake.
iii.   Kansa ya mifupa au wepesi wa uzito wa mifupa. Mfupa au mifupa inatakiwa kuwa na uzito ulio standard lakini kuligana na changamoto za hapa na pale pamoja na utumiaji wa madini ya fluoride kwa wingi kutoka kwenye dawa za meno na kwenye maji na kutokupata vitamin D ya kutosha kutoka kwenye vyakula mbalimbali mifupa ya mwanadamu huadhirika na inakuwa kirahisi kuvujika n ahata ikivunjika vi vigumu au huchukua muda mrefu kujiunga na kuwa mhanga wa ugonjwa wa mifupa.

SULUHISHO
tunafahamu watu wengi husumbuka na hili tatizo la maumivu ya viungo tumekuandalia program ambayo unapochukua jukumu la kuitumia inakupa manufaa mengi muhimu kwa afya yako pamoja na;

·         Kuupatia virutubisho muhimu mwili wako ili uweze kujenga afya imara
·         Kuongeza ute ute kwenye joint zako au viungo vya mwili wako
·         Kuboresha misuli ya mwili pamoja na mifupa
·         Kuwesha madini ya calcium kufyonzwa kirahisi kwenye mifupa yako
·         Kuimarisha ubora wa mifupa ili kuepusha injury zisizo za lazima.
NB,,Afya hujengwa na ulaji mzuri wa vyakula hasa kwa kuzingatia lishe na virutubisho muhimu katika afya na wala siyo madawa ya kikemikali.
Kwa yeyote ambae anauitaji wa kuitumia program hii ili kuakikisha anajenga afya imara ya mwili wake hasa kwenye mfumo huu unaomuwezesha kutembea bila maumivu yeyote wala kusumbuka na matatizo ya viungo wasiliana nasi kwa namba.
+255752304044 whatssap /call
+255716211801 call only


2 Comentarios

  1. Naomba kuipata dawa ya bawasili au dezi dume; tatizo langu ni kuipata choo ngumu tena Cha rangi ya kahawia, naumivj makali ya kiuno nikikaa zaidi ya dakika 15,kukojoa mkojo wa njano Sana na kuhisi kukojoa tana baada tu ya kutoka kukojoa, mkojo kufuatana na Ute unaoteleza na kutoa harufu mbaya baada ya tendo la ndoa, nachoka Sana Sana na kuhisi joto Kali mata nyingi wakati wa usiku,tumbo kuunguruma hasa asubuhi, na miguu kuuma nikitembea mwendo mrefu kidogo, nashindia kusimama muda mrefu. Nisaidie doctor WANGU.

    ReplyDelete
  2. NASHUKURU SANA DR NIMEFUNGUKA KIFIKRA! ENDELEA KUTUSAIDIA

    ReplyDelete