VYANZO VIKUU VINAVYOSABABISHA MIMBA KUHARIBIKA .


FAHAMU KUHUSU KUHARIBIKA KWA MIMBA NA SULUHUSHO
 (causes of miscarriage and how to avoid)

Kuharibika kwa mimba ni ile hali ya kutoka kwa mimba bila kukusudia na muda mwingine inaweza kuharibika bila hata kujua, lakini mtu akitoa mimba hiyo tunaita ni (abortion). Mimba Zaidi ya 500,000 zinaharibika katika kipindi cha miezi 3 _9 inchini marekani hizi ni takwimu ambazo zimeweza kutokea lakini ukumbuke kuwa hata mimba kutoka au kuharika kwa siyo kwa kukusudia ila ikiwa ni kwa uzembe wako hiyo ni dhambi kubwa unahesabika ni muuaji kama mtu alieitoa mimba kwa kukusudia.
Mimi katika nakala hii napenda nizungumzie wale ambao mimba zinaharibika bila kukusudi au mimba zinazotoka bila wao kujua kwani hawa hawana hatia hivyo ninauhakika ukisoma hivi vyazo vitakusaidia kwani vimesaidia watu wengi pale walipoamua kuepukana na hivyo vyazo na leo hii ninaushuda wa watu waliofanikiwa kupata watoto baada ya elimu mbalimbali ndo maana leo nikaona niiweke hii elimu wazi, mambo yanayochangia mimba kuharibika bila kukusudia ni kama yafutayo:
·         Uzito mkubwa(overweight), imefanyiwa utafiti na kuonekana kuwa wanawake wanaobebe ujauzito na wakiwa na hali ya uzito mkubwa hupelekea kuharibika kwa mimba maana mwili hukosa uwezo wa kujibalance na hivyo hupelekea kuanza kujipunguza wenyewe bila wewe kutaka na maana huanzia kwa kutoa kijusi.
·         Nyama uzembe ndani na nje mwili, nyama uzembe watu wamezoea kujiangalia mikononi, tumboni na kwenye mapaja kwa nje kumbe kama uko na hali namna hiyo ujue kuwa nyama uzembe hutokea hadi dani kwenye tumbo na kama ukiwa na ujauzito nyama hizo hupelekea mimba kutoka.
·         Vimbe vya uzazi (fibroids), vimbe vya kwenye via vya uzazi hupelekea mimba kuhariba kwa sababu huo uvimbe unaweza kutokea sehemu mbalimbali vimbe zinaweza kutokea ndani ya mfuko wa uzazi ( uterus) na inje ya mfuko wa uzazi, vimbe hupelekea kuadhiri ukuaji wa mtoto na kunyonya damu kwa wingi na kumfanya mtoto adhoofike afya yake na hatimae mimba kutoka
·         Umri mkubwa, utafiti unaonyesha kuwa wanawake wengi wanaobeba ujauzito wakiwa na umri wa kuanzia miaka 35 nakuendelea mimba nyingi huharibika hii ni kwa sababu miili yao inakosa kingi ya kumtosha yeye mwenyewe na mtoto pia mishipa yao hulegea na kushidwa kuhimili jinsi ya kushikilia kiumbe kipya.
·         Utoaji mimba (abortion). utoaji wa mimba wa mara kwa mara huufanya mwili usiwe na ubora wa kushikiria kijusi kwani inakuwa imesumbuliwa hadi kulegea kwa mishipa pia

DALILI ZA HATARI ZA KUHARIBIKA KWA MIMBA. (symptoms of miscarriage)
·         Kutoa matone ya damu ukeni, hii haimanishi kuwa kila tone la damu ni kuharibika kwa mimba lakini ni dalili mojawapo nayo.
·         Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara , hii inaweza kusababishwa na kupungukiwa kwa damu au kutokunywa maji mengi
·         Mtoto kutokucheza tumboni, unaweza ukajaribu kufanya hivi kunywa maji mengi ya baridi ili kumpa ubaridi mtoto ili acheze maana tumboni ni pa moto sana hivyo usipoona kacheza napo ni dalili mbaya.
·         Chupa kupasuka na kutoa maji mengi ukeni
·         Miguu kuvimba, mikono au uso, hii ni huwatokea wanawake wengi kama asilimia 45 ya wajawazito hali kama hii inaweza kusababishwa na baadhi ya magonjwa kama pressure,kisukari au protein kuwa juu Zaidi n.k..
·         Kutokuona vizuri au kizunguzungu na kuishiwa nguvu
·         Kupata maumivu au damu wakati wa tendo la ndoa, kutokana fikra mbaya kwa watu wanasema kuwa ukiwa mjamzito usifanye tendo la ndoa lakini kama uko na afya njema kufanya tendo la ndoa siyo vibaya fanya hadi siku ya kuzaliwa haina madhara kabisa
Kumbuka kuwa siyo kila unapoina dalili siyo kingezo cha moja kwa moja kuwa mimba imeharibika la hasha bali unapoona dalili unapanswa ufanye upimaji wa afya ili kuhakikisha kuwa uko salama Zaidi.
Laiki ni vema tukajifunza vitu gani mwanamke anavipitia baada ya mimba kuharibika au madhara yapi humkuta mwanamke pindi mimba inapoharibika.
FAHAMU MADHARA YA MIMBA KUHARIBIKA, (effects of miscarriage)
Kibinadamu kuharibika kwa mpango ambao tayari upo kichwani na kimwili pia inasababisha madhara katika pande zote kuanzia kiafya na kifikra ebu jifunze madhara yanayotokea baada ya mimba kuhaibika.
a.    Kuugua mara kwa mara, hapa husababishwa na kuvurukika kwa mwili au kubakia baadhi ya uchafu na hivyo bacteria wabaya huushambulia mwili kutokana na mabaki ya uchafu kama hajasafishwa vizuri.
b.    Kupata kansa ya uzazi, hii ni changamoto kubwa kwa wanawake wanapopatwa na tatizo la kuharibika kwa ujauzito kwani huwa ni kirahisi sana kuadhirika na tatizo la ugonjwa wa kansa ya kizazi.
c.    Kuathirika kisaikolojia. Mama anapopatwa na shida ya kuharibikiwa kwa mimba huathirika fikra hasa pale anapomuona mwanamke mwezake anaujauzito au ananyonyesha kwani hujihisi kana kwamba hawajakamilika na kuitwa mwanamke nando hapo wengi hujiingiza kwenye utumiaji wa madawa kiholela na kukosa utulivu wa kutafuta suluhisho sahihi kwake na la kumsaidia
SULUHISHO LA VIRUTUBISHO LINALOPENDWA NA WATU WENGI………

Kuanzia mwanzo jinsi mwili unaumbwa haujatengenezwa kwa ajili ya matumizi ya dawa ili kuujenga uwe na afya njema, bali kwa kupata lishe ili kuzirisha seli na hizo seli zinaupa mwili nguvu na ubora, hapa ndo tutaona umuhimu wa kutumia virutubisho kwa ajili ya kujenga mwili kuanzia dani na nje.
i.              Kama mwanamke anauzito mkubwa zitamsaidia kwanza kupunguza uzito/au kilo ili ziwe sawa na jinsi zinavyopanswa awe
ii.            Zinasaidi kuondoa takamwili mwilini na kuboresha uwezo wa kutokupata choo
iii.           Zinasaidi kuupa mwili kiwango kikubwa cha madini ya protein na calcium
iv.           Zinasaidi kuboresha mfuko wa uzazi ili kuuboresha uimarike mishipa na uwezo wa kusambaza damu kwa mtoto na mimba kuharibika ovyo ovyo
v.            Zinasaidia kuondoa nyama uzembe na kubalansi uzito kama kabla haujabeba ujauzito
vi.           Zinasaidiakuupa mwili madini aina ya folic acid ambazo hufanya za uumbaji wa mtoto kuzaliwa bila madhara yoyote ya viungo n.k
Hivyo unaweza kuwasiliana na kampuni moja kwa moja ili kupata elimu ya afya ya uzazi kwa upana Zaidi na virutubisho kwa namba…………
                                            +255752304044 whatsapp or call

0 Comentarios