JINSI YA KUIMARISHA FIGO ILIYOFELI


KUZUIA UGONJWA WA FIGO
 Ugonjwa wa figo ni ugonjwa unaoathiri figo hatua kwa hatua na hatimae husababisha figo kufeli au kushindwa kufanya kazi vizuri, wakati huu wa ugonjwa wa figo unapofikia hatua ya juu kabisa basi majimaji hatarishi na takamwili hujijenga katika mwili,na hii yote ni kwa sababu figo inakazi nyingi sana katika mwili wa binadamu na mojawapo ni;
Kuchuja uchafu kwenye damu na kutoka nje kama mkojo, kazi nyingine ya figo ni kuachilia vichocheo mbalimbali mwilini ili mwili ufanye kazi vizuri kama vile, kemikali aina ya renini hii husaidia mwili ili usiwe na tatizo la kuwa na ugonjwa wa shinikizo la damu maarufu kama presha, lakini pia huachilia kemikali ambao kazi yake mwili ni kuhakikisha chembe chembe hai nyeupe na nyekundu zinakuwepo za kutosha ili kuepusa upungufu wa damu kwenye mwili, hivyo basi kuna maradhi mengi yanasababisha fingo kushindwa kufanya kazi vizuri baadhi ya magonjwa hayo ni; ukimwi,kisukari, pressure,chujio la mkojo kushambuliwa na wadudu kama vile wadudu wa UTI, figo kuwa na mawe (kidney stone) na saratani ya figo.
UTAGUDUAJE KUWA FIGO YAKO IMESHAAZA KUATHIRIKA.
Kuna dalili nyingi sana ambacho unaweza kuziona kama figo imeshaaza kuwa na matatizo mbalimbali katika mwili na leo tutajifunza dalili za haraka kuziona na kutambua kuwa figo inaashiria kupata tatizo au tayari ishakuwa na tatizo nazo ni;
·         Kukosa hamu ya kula na kukosa radha ya kinywani, mara nyingi sana mtu anapokuwa na changamoto ya figo kushidwa kufanya kazi humpelekea kukosa hamu ya kula na kujiona kuwa ameshiba na haitaji kula kabisa hii husababishwa na kutokuachiriwa kwa kemikali zinazomfanya mtu ajihisi kuwa anahitaji kula au kupata chakula
·         Kubadirika kwa rangi ya mkojo. Hii siyo kwamba ni kiashiria cha moja kwa moja bali muda mwingine inaweza ikaonyesha kuwa haupati maji ya kutosha mwilini mwako, na mkojo unatakiwa uwe wa rangi nyeupe hivyo mtu alie na changamoto ya figo anaweza kuwa na mkojo wajano,mwekundu kama damu na unakuwa na harufu kali sana.
·         Maumivu ya mgogo, kiuno,na joints.
·         Kushidwa kupumua vizuri, hii ni kwa sababu kunakuwa hamna uwiano wa damu na maji mwilini ili kuufanya mwili uwe kwenye msawazo mzuri wa ufanyaji kazi.
·         Kushindwa kulala vizuri na muda mwigine humfanya mtu kushidwa kugeuza hata shingo japo dalili hii inaweza kuwa ni ya moja kwa moja au sababu nyingine
·         Miguu kuvimba au kuwaka moto
·         Kuona giza na kizunguzungu
·         Kuishiwa au kupotea kwa uwezo wa tendo la ndoa au nguvu za kiume
Lakini ndugu mfuatiliaji wa nakala zetu za nutrijoju global health tambua kuwa matibabu ya figo watu wengi hushidwa kumudu gharama zake na kadiri unavyochelewa kujiimarisha punde uonapo dalili kama hizo husababisha maafa/kifo yasiyo ya lazima na maadiko yanasema watu wanaagamia kwa kukosa maarifa.
NINI KIFANYIKE ILI KUTUNZA FIGO.
Kuna sababu nyingi zinazosababisha figo kuharibika navyo ni, unywaji wa Pombe kupita kiasi hii inapelekea figo kushidwa kutenganisha takamwili vizuri ili zitolewe nje kwa sababu ya sumu nyingi iliyomo kwenye kinywaji aina ya pombe, kutokufanya mazoezi unapofanya mazoezi mwili unaupa nafasi ya kuhakikisha utoaji wa sumu kupitia milango ya fahamu uko vizuri mtu unapokuwa hufanyi mazoezi ni kiepesi kuharibu figo kwa sababu ya sumu, uzito mkubwa kiafya mtu anatakiwa awe na uzito ulio sawa na urefu wake BMI kwani uzito mkubwa na mara nyingi ndo chanzo kikuu cha kusababisha ugonjwa pressure ya kupanda na hapo juu tumeongelea kuwa presha inaathirije figo.
SULUHISHO KWA MTU ALIE NA CHANGAMOTO YA FIGO
 Utumiaji wa virutubisho/supplement ni muhimu sana ili kuweza kurudisha ubora wa mwili na afya kwa ujumla, tatizo la figo ni tatizo ambalo kama mtu hutaweza kuwahi kuimarisha hata kupoteza uhai ni kugusa tu hivyo kuna bidhaa ambazo zinasaidia kujenga figo vizuri hata ikiwa imeshaaza kureta shida, kuondoa sumu mwilini ,kuondoa mawe yaliyoadhiri figo, kuimarisha kam tayari figo imeanza kufeli na hivyo utapata msaada wa kuelimishwa ule vyakula kuligana na kundi lako la damu ili kurudisha uwezo wa mwili wako vizuri,
Unaweza kuwasiliana na kampuni moja kwa moja kupata elimu kwa upana Zaidi.

1 Comentarios

  1. Nakubal sana ushauri wako.ila km kiuno kinauma tatizo linakuwa ni nn

    ReplyDelete