MAGONJWA YA MOYO (CARDIOVASCULAR DISEASE).



          Unapoamua kwenda kununua gari kwa ajili ya matumizi mbalimbali hivyo kila mtu huangalia kuwa anataka gari la aina gani kuanzia rangi anayoipenda mnunuaji ndo aweze kufanya maamuzi ya kuweza kulichukua hilo gari au la, lakini pia ukumbuke kuwa hata hilo gari huwa limeundwa kwa vitu mbalimbali hadi kuja kuingia barabarani kufanya shughuri linakuwa na vitu kama boti , system za umeme hadi kuwasha taa zinafanya kazi (indicator) ila vyote hivyo ili vifanye kazi huwa vinasaidiwa na kitu muhimu Zaidi ambacho kila mnunuaji anatakiwa akijue ufanyaji wa kazi na ubora wake hicho kitu ambacho kinaitwa injini (engine) na hapa ndo wamiliki wengi wa magari huwa wanaangalia mara kwa mara ili kuhakikisha gari linafanya kazi vizuri na ndio maana hufikia wakati wa kulipeleka gari likamwagwe oil kila mwezi na kwenda kuangaliwa kama liko sawa sawa kwenye injini, ila ni mara chache kumkuta mtu kapeleka gari garage kutengenezwa taa wakati ikiwa inawaka au kufunguliwa tu hiyo taa na huku haina hata dalili za kuzimika zimika.
            Kutokana na mfumo wa maisha tunayoishi sasa ugonjwa wa moyo umekuwa ni chanzo kikubwa cha vifo duniani  Hivyo Ili mwili ufanye kazi kwa ubora ni lazima kiungo mojawapo mhimu kifanye kazi vizuri na hicho kiungo ni MOYO, moyo ndo injini ya mwili usipofanya kazi vizuri kwa jinsi inavyotakiwa husababisha madhara mbalimbali
Moyo kupanuka, kupanuka kwa moyo husababishwa na vitu vingi lakini mojawapo ni kushindwa kusukuma damu vizuri kwenye mwili hasa pale inaposongwa na mafuta mabaya (cholesterol)
Moyo kuwa na tundu, hili ni tatizo nalo linaloua watu wengi sana dunia maana moyo unapokuwa na tundu hufanya mwili usipate damu ya kutosha itakapotokea haifiki damu kwenye ubongo hasa kwa dakika tatu mtu anaweza kupoteza uhai.
Ili kujua kuwa moyo ni injini ya mwili iliyo imara fatilia madhara haya mengine yanayotokea baada tu ya moyo kushindwa kufanya kazi vizuri.
·         Kuishiwa nguvu za kiume. Hii baada ya kushidwa kupeleka damu ya kutosha kwenye baadhi ya sehemu za mwili au kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye mwili na kuanza kuishiwa nguvu baadhi ya viungo kwenye mwili ikiwemo na hili janga kwa wanaume wengi la kuishiwa uwezo watendo wa ndoa.
·         Kiharusi (stroke). hili ni tatizo linalotokea kichwani baada ya kushindwa kwa mishipa ya kichwani kuhimili ujanzo wa damu unaotoka kwenye moyo na kupelekea kupasuka na damu kumwangika kwenye ubongo huyu mtu ndo hupelekea tatizola kupoteza kumbukumbu.
·         Kukondeana na mwili kuishiwa nguvu kwa ujumla.n.k
·         Maumivu ya kichwa na uchomvu wa mara kwa mara
·         Upotevu wa kumbukumbu.

Kwa mjibu wa shirika la afya duniani (WHO) magonjwa yasiyoambukizwa kama yalivyo magonjwa ya moyo kila mwaka huua watu million 38 duniani. Vifo vingi kati ya hivyo hutokana na magonjwa ya moyo. Inakadiriwa kwamba watu takribani million 17.5 hufariki dunia kutokama na magonjwa ya moyo.
LAKINI KUNA TUMAINI
Mlinzi wa viungo vyako ni wewe mwenyewe hivyo kuna program’s ambazo zimeadaliwa kwa ubora wa juu kuhakikisha mwili na moyo vinafanya kazi kwa kiwango sawa na hiyo program inasaidaia mambo mengi mwilini;

a.    Inasaidia kuondoa sumu mwilini kama vile unavyomwaga oil chafu kwenye injini ya gari inakufanyia usafi Zaidi (cleansing/ detoxifications)
b.    Inasadia kuondoa mafuta mabaya kwenye moyo na kwenye mishipa
c.    Inakuzarishia seli Zaidi kwenye mwili ili kiwango cha damu kiwe sawa.
d.    Inasaidia kuondoa tatizo la kutokupata choo ( constipations)
e.    Inasadia kukupa mzunguko mzuri wa damu ili kukuepusha na tatizo kupasuka kwa mishipa kichwani, kiharusi ( stroke).
f.     Inasaidia kukupa uwezo mzuri Zaidi wa tendo la ndoa
g.    Inasaidia kukupa kinga mwili ili usishambuliwe ma maradhi
·         Hivyo basi kwa elimu na jinsi ya kuipata hiyo program ya afya unaweza kuwasiliana na kampuni moja kwa moja mawasiliano namba.
       +255752304044 whatssap /call
     

0 Comentarios