MADHARA 11 YANAYOSABABISHWA NA KUTOKUPATA CHOO NA MRUDIKANO WA SUMU MWILINI.

MADHARA 11 YANAYOSABABISHWA NA KUTOKUPATA CHOO NA MRUDIKANO WA SUMU MWILINI.

 (11 DANGERS OF CONSTIPATION AND TOXIC DEPOSITS IN YOUR BODY)

Ivi ni kwa nini watu tunapata changamoto ya kuugua mwili! na hili ni swali ambalo linaumiza fikra za watu wengi sana, tambua kuwa mwili wa binadamu hauna tofauti kubwa na magari jinsi yanavyofanya kazi na ndio maana karibia kila mwezi asilimia kubwa ya wamiliki wa magari hupeleka kwenda kufanyiwa marekebisho au kuboreshwa Zaidi kwa ajili ya kuimarisha usalama wa chombo chako na kuhakikisha kuwa liko imara tofauti na hapo unakuwa uko kwenye wakati hatarishi wa safari zako , uchunguzi mkubwa wanaoufanya ni kusafisha ndani ya enjini ya gari kumwanga oil na kuweka safi ili liendelee kufanya kazi kwa ubora wake .
Lakini kundi kubwa la watu huangalia ubora wa magari yao na kuisahau miili yao na kimsingi tunakula mara 3 na wengi wao huoga hata Zaidi ya mara 3 je wewe binafsi ushawahi kumwanga oil dani ya mwili wako mara ngapi? Na kimsingi unapanswa kupata choo kuligana na idadi ya jinsi unavyokula na choo kisiwe na harufu wala kisiwe kama cha mbuzi na choo kiwe kinashaini, hivyo tunajikuta tunaingiza sumu nyingi mwili na sumu tunazipata katika mazingira mengi hizi ni baadhi ya sehemu zinazosababisha mwili wa binadamu upate sumu na kusongwa na maradhi mengi;
·         Kutokupata choo kuligana na idadi ya jinsi unavyokula,kutokufanya mazoezi Mazingira, kwenye vyakula na vinywaji n.k
Kumbuka kuwa asilimia (60-90) ya maradhi ambayo siyo ambukizi huanzia kwenye mmeng’enyo mzima wa chakula ndo maana nikaamua kutoa elimu hii ya mrudikano wa sumu na kutokupata choo ili kila mmoja asomae huu ujumbe ashidwe yeye binafisi kujifunza juu ya afya yake maana mwenye maamuzi ya afya yako ni wewe peke yako tuone madhara yanayompata mtu ambae hapati choo na kuwa na mrudikano wa sumu mwilini;
MADHARA YA KUTOKUPATA CHOO (  CONSTIPATION) NA MRUDIKANO WA SUMU MWILI (TOXIC).

Mwanzo tumetoa mfano wa gari endapo hutokuwa unalijari kwa kuweza kuliweka kwenye mazingira mazuri ya ufanyaji kazi wake hutokea nini na upande wa mwili mambo kadha wa kadha huandamwa na changamoto mbalimbali na muda mwingine baadhi ya watu huingiwa na Imani ya kuwa wamerongwa kumbe mchawi wa kwanza mwili wako ni wewe , lakini kwa utafiti inaonyesha kuwa maradhi ambayo siyo ambukizi hutokana na wewe mwenyewe ndo maana mazoezi ni muhimu kwa kila binadamu kila siku ebu jiulize mara yako ya mwisho kufanya mazoezi ilikuwa ni lini pia uendelee kusoma madhara yanayosababishwa na sumu.
·         Uzito kuongezeka (weight gain). hii ni changamoto kubwa na kwa watu wengi inawatesa bila kujua ila ufahamu kuwa kiafya unapaswa uwe na uzito unaoenda na urefu wako kwa lugha nyingine wanaita Body mass index (BMI) na ndo maana unaweza ukakuta watu wengi wanavitambi na hii ni kwa watoto, wanaume na wanawake na tatizo hili linaongoza kwa kuua watu wengi kwa maradhi yatokanayo na uzito.
·         Alenji (allengies). Mwili unapokuwa na sumu nyingi usishangae kuwa aleji ya baadhi ya vyakula unaweza ukala au ukatoka na majipu au kutokwa na vipele na muda mwingine kupiga chafya hata ukikutana na vumbi kidogo na baadhi ya watu endapo ikafunguliwa friji huanza kupiga chafya kali.
·         Uchovu sugu (chronic fatigue). Hapa unaweza ukamkuta mtu asubuhi katoka kulala lakini anakwambia nimechoka na tunavyojua mtu ukilala unatenganisha sumu na ubongo lakini kama kupata choo ni shida lazima uwe unaamuka umechoka kila kukicha na kuwa na hasira za ajabu ajabu.
·         Maumivu ya tumbo, kiuno, mgongo, kichwa n.k
·         Presha ya kupanda 
·         Kisukali
·         Kutoa mkojo wenye harufu na rangi au macho kuwa njano pamoja na ngozi kubadilika pia hii huashilia kuwa mwili unasumu nyingi kama ni gari sasa hapo linaelekea kupankiwa tu limsubiria fundi kwa ajili ya matengenezo na binadamu anatakiwa atoe mkojo mweupe kama maji masafi na usiwe na harufu
·         Kula mara kwa mara, hii huashiria kuwa kwenye mmeng’enyo wa chakula umezibwa na takamwili kuwa ufyozwaji wa vitamin mwilini haufanyiki ipasavyo sasa unapokula chakula kinapitilizwa tu kama uchafu.
·         Kukosa usingizi kabisa.
MADHARA YA SUMU/KUTOKUPATA CHOO KWA WATOTO WACHANGA.
Kwa mtoto mchanga akiwa ndo ameanza kula chakula wengi hupata tatizo la constipation kwasababu utumbo wao huwa unashidwa kuhimili upokeaji wa vyakula vigumu (solid food) na wengine huchukua siku 3hadi 7 hapati choo na akija kupa anaweza kuanza kulia lakini zisidi hizo siku hajapata choo kwani itamletea shida ya kiafya.

·         Mtoto kukosa hamu ya kula na kupelekea mwili wake kudhoofika
·         Kupunguza uwezo wa kufikili unaweza ukamtuma kiberiti akakuletea chumvi
·         Mtoto kupungua uzito kwa ghafla
MADHARA KWA WANAWAKE
 # muda mwingine hata mimba hushidwa kutunga
* kukosa hamu ya tendo la ndoa
*kupata maumivu chini ya kitovu
# kupata vimbe vya uzazi kiepesi Zaidi, lakini siyo ndo sababu kuuya kuweza kupata vimbe vya kizazi (fibroids)
# kuharibirika kwa mzunguko wa hedhi
MADHARA KWA WANAUME
@ Kuwa mzembe kitandani yaani kuishiwa nguvu ZA KIUME. Ukae ukifahamu kuwa hamna ugonjwa wa nguvu za kiume bali ni changamoto inayoupelekea mwili kushidwa kufanya kazi zake vizuri hasa kupeleka kukosa uwezo wa kupeleka damu inayotakiwa kwenye mishipa ya mfumo wa uzazi hasa kwenye uume.
@ kaharibika kwa TEZI DUME au kukosa hamu ya tendo la ndoa kabisa. Tezi dume inaharibiwa na vitu vingi ikiwemo sumu kuzindi mwilini uzee na bahati nzuri hii mada niliizungumzia vizuri kwenye nakala inayoelezea afya ya tezi dume
@ kupungua kwa uwezo wa kuzalishwa kwa mbegu kwenye korodani.

USHAURI KWA MTU YEYOTE NA JINSI YA KUFANYA ILI KUONDOA SUMU MWILINI.
      Unapaswa uwe unakunywa maji kulingana na uzito wako kwa kila kilo 20 lita moja ya maji sasa wewe jihesabie una kilo ngapi na kiwango cha maji unayopanswa unywe.na maji usinywe ukiwa unakula au umemaliza kula pamoja na mazoezi kila siku na takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 61 ya wakazi wa dar es salaam hawafanyi mazoezi jiulize wewe upo katika asilimia ya wanaofanya au ambao hawafanyi.
Lakini ujue kuwa maji pekee hayawezi kuondoa au kumaliza shida ya kutokupata choo au kuondoa sumu mwilini na ndo maana huwezi kufua nguo kwa maji pekee bila sabuni na ikishindikana unatumia hata jink. Hii inamanisha kuwa uchafu umekuwa sugu, na kwenye miili yetu inakuwa hivyo hivyo uzuri kampuni imeweza kutuandalia program ambayo inatatua changamoto za sumu kwa watoto na watu wazima pia imedhibitishwa kwa matumizi ya binadamu wanaotaka kuendelea kuimarisha afya bila kusongwa na maradhi yasiyo ambukizi.
·         Inasaidia kukupa nyuzi nyuzi kwenye choo na hivyo husaidia kupata choo chenye ukubwa wa saidi ya ndizi na kukufanya uwe unapata choo kuligana na idadi ya unavyokula kila siku
·         Inasaidia kuondoa gesi na kubeua ovyo ovyo
·         Inasaidia kuondoa sumu mwilini na kukufanya usiwe mtu wa kusongwa na maradhi au hasira
·         Inakufanya kuwa ngozi nyeroro na ya mg”ao na kuonekana uko chini ya umri.
·         Inasaidia kukusafisha tumboni na kuupa mwili uwezo wa ufyozaji wa vitamin kutoka kwenye vyakula na matunda.
·         Kwa watoto wachanga wao inawaimarishia kuwapa kinga na kuondoa michango na kuwafanya wasisitishe swala la kupata choo hata aikwa anawiki moja amezaliwa au siku mbili inamfaa pia.
·         Na baada ya kutumia inakusaidia kukupa ulizi wa mwili kwa muda mrefu hata kama ukiwa huendelei kutumia.
Hivyo ukumbuke kuwa mwili huwezi kuupaki kwenye mawe kama gari linapokuwa limechoka alafu badae uje uuendeleze kuujenga ukiupaki mwili maana yake ni kifo unaweza kuwasi;liana na kampuni moja kwa moja ili upate ushauri wa afya juu kuondoa sumu au matumizi ya hiyo program ya virutubisho.
Kwa maelekezo Zaidi +255752304044 whatssap/call
                                 

0 Comentarios