Janga
la wanawake duniani, tunapoteza wanawake wengi kila kukicha kwa tatizo hili la
fibroids hii ni kutokana tu na kutokuwa na uwezo wa kujua nini afanye kabla
hajapatwa na hii changamoto na hata pale anapokuwa amesadikika kuwa tayari ana
vimbe vya uzazi wengi wao hukosa nini chakufanya hivyo ni muhimu Zaidi kujua
kwa udani elimu ya fibroids ili hata badae uweze kutoa faraja kwa
wanaokuzunguka, kwani inakadiriwa kwamba asilimia kati ya
20_50% ya wanawake wana hili tatizo au watakuwa na hili tatizo katika
kipindi Fulani cha maisha yao, fibroids inapatikana Zaidi kwa wanawake wenye
kati ya miaka 30_40 na hupungua ukubwa mara baada ya umri wa utu uzima.
NINI MAANA YA VIMBE ZA
KIZAZI (FIBROIDS)
Hii
ni ile hali ya kuwa na uvimbe kwenye moja ya kiungo muhimu cha uzazi kwa
mwanamke na hujulikana kama fibroids.Vimbe hizi zaweka kutokea moja au Zaidi ya
moja kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke yawezekana ndani ya mfuko wa
uzazi(uterus)au nje ya mfuko huo wakati mwingine zinaweza kuwa nje ya ukuta wa
mfuko wa kizazi au hata pia kwenye njia za mirija ya uzazi(faropian tube) Na
imekuwa jambo lakawaida sana mwanamke kupatwa na hizi vimbe ingawa ni hatari
sana kiafya kama mwanamke anakuwa nazo na hakuna chanzo cha moja kwa moja cha
kuonyesha kwamba kwanini mtu anapata hizi vimbe lakini yako mambo ambayo
yanahatarisha na kuweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kupata vimbe hizi za
kizazi.Ungana nami
VYANZO VYA KUPATA VIMBE ZA KIZAZI
Wanawake
wengi ambao wanapata hii changamoto ya vimbe kwenye kizazi imezoeleka kama
fibroids kuona labda wana bahati mbaya au miili yao hawakuandaliwa kuja kupata
watoto au kuwa na uzazi uliokuwa bora,na kusahau kumbe kuna maisha wanayaishi
ambayo ndio hupelekea wao kupata hizi vimbe nayo ni kama ifwatavyo;
ü Uzito uliopitiliza hii
imekuwa changamoto kubwa kwa kina dada au wanawake wengi kuongezeka uzito
kupita kiasi na kushindwa kuupunguza au kubalance nahii ni kutokana na kukosa
njia sahihi ya kupunguza huo uzito lakini wako baadhi hufikili kuwa ni afya
hiyo,mwisho hupelekea mafuta mengi na baadhi ya tissue tumboni hasa kwenye
uzazi kushindwa kufanya kazi inavyotakiwa na kuanza kutengeneza hizo vimbe,na
kama ujuavyo unavyokuwa na uzito mkubwa pia mafuta mabaya ndani ya mwili lazima
yatakuwepo na hivo kuperekea mishipa yako ya damu kushindwa kupitisha damu
inavyotakiwa na vyakula unavyotumia ni kuku na chips.
ü Matatizo ya hormone (hormone imbalance)
Pia
matatizo haya ya kuto kubalance kwa homoni yako kwa wanawake wengi tu kwasababu
wanatumia dawa za uzazi wa mpango yabila kujua kumbe wanayumbisha swala la
hormone,na hormone ambazo zinauhusiano mkubwa na hizi fibroids au kupata vimbe
ni oestrogen pamoja na projestorone kwaiyo unapokuwa na tatizo hili la hormone
basi kuna uwezekano mkubwa wakuja kupata vimbe hapo baadae.
ü History ya kifamilia;imeonekana kuwa kama kwenye
familia kama kulishawai kutokea mtu alipataga hili tatizo la kupata fibroids
basi kuna uwezekano mkubwa pia kuja kupata hii changamoto ya fibroids kwaiyo ni
muhimu sasa kama wewe tayari uko kwenye familia ya namna hiyo kuanza kujikinga na
sababu nyingine tajwa hapo.
ü Swala la ujauzito mwanamke
anapokuwa na ujauzito kuna baadhi ya hormone hujidharisha kwa kasi sana sasa
kama mwili wako hauko balancing kwa hizo hormone ndio kunawatu utasikia kuna
mimba ilitoka kwasababu ya vimbe.Sasa hivyo vyote hapo juu ndio vitu kama
hautokuwa makini navyo basi kunauwezekano mkubwa wakuja kupata hii changamoto
ya vimbe za kizazi sasa unapaswa kutambua wazi kuwa unapopata hizi vimbe basi
kuna madhara makubwa kiafya kwa mwanamke ambapo kimsingi ni hatari kiafya,hivyo
kwa pamoja ungana nami uweze kuona nini hasa hutokea pale mwanamke anapokuwa na
hizi vimbe; kabla ya kujua madhara ni muhimu sasa kuweza kujua dalili hasa za
fibroids mtu ukiwa nazo uweze kuchukuwa hatuwa
DALILI ZA VIMBE KWENYE KIZAZI
Mara
nyingi vimbe hizi za kizazi huwa za aina tofauti tofauti kulingana na saizi ya
ukubwa wa vimbe yenyewe lakini pia eneo la hiyo vimbe inapoweza kutokea ndio
baadhi ya vimbe nyingine ni fibroids lakini huwa hazina dalili sasa leo hapa
ungana name uweze kuona ni kwanamna gani utajuwa kuwa uko na dalili za mwanzo
za kupata fibroids;
·
Maumivu
makali ya tumbo chini ya kitovu hapa mwanamke huwa anamaumivu
makali ya tumbo ambayo anakuwa anahisi kama kuna kitu anakishika chini ya
kitovu ambao unakuwa ni uvimbe lakini wakati mwingine wakati uvimbe unakuwa
bado mdogo yanakuwa ni maumivu tu makali sana kama yale yanayofanana na hedhi
ingawa hutakiwi kupata maumivu ya hedhi hiyo maana yake hormorne zako haziko
vizuri.
·
Kutokwa
na damu nyingi sana kama uko na hili tatizo la vimbe kwenye kizazi
waweza kukuta unaanza kutokwa na damu isiyo ya kawaida ambayo hukuwai pengine
kutokewa na hali kama hiyo hivo unapaswa kuchukua hatua za haraka ili kuweza
kudhibiti tatizo hilo.
·
Kushindwa
ku control mkojo
·
Maumivu
makali ya mgongo.
MADHARA YA
KUWA NA VIMBE ZA KIZAZI
Wako
watu huwa wanajiuliza na kukosa jibu sahihi kuwa je fibroids
huwa zinasababisha utasa nikiwa na maana kwamba mwanamke kutokuwa na uwezo wa
kuzaa jibu ni siyo kweli .Vimbe za kizazi hazisababishi utasa ila zinaweza
zikakufanya ujione huna uwezo wa kuzaa kulingana tu na madhara utakayokuwa
unayaona ya kimwili hasa hasa katika mfumo huu wa uzazi.Lakini vimbe hizi
huweza kusababisha infection kwenye viungo vyako
vya uzazi kwasababu ya kutokwa na damu kwa muda mrefu lakini kuperekea hormone zako kutokuwa sawasawa na kuendelea kupata
maumivu ya hedhi kila mwezi.Sasa changamoto kubwa ambayo kina mama wengi
hupitia ni kufanyiwa upasuaji wa kujirudia rudia kila wakati kwasababu watu
wengu hufikili labda njia sahihi ya kudhibiti fibroids ni upasuaji lakini jibu
ni hapana,sasaziko njia na suluisho la kweli kuweza kudhibiti tatizo hili la
fibroids.Kwapamoja tuweze kumalizia kwakuona jinsi gani unaweza kutatua
nakudhibiti tatizo hili la fibroids kwa wanawake wengi kwenye hii jamii yetu ya
kila siku.
TUMAINI AU SULUHISHO
KUHUSU FIBROIDS
Nia
yetu ni nzuri kuakikisha watu wanaondokana na haya matatizo yanayo sumbua kina
mama hasa katika maswala ya uzazi njia sahihi ya kutokomeza matatizo haya ya
kizazi hasa kwa wanawake ni kuakikisha hizi vimbe zina shrink au kudhibiti
kutoka kwenye source nasio kuzikata juu juu ndio maana huwa zinajirudia baada
ya wengi kufanyiwa upasuaji,iko program muhimu tumekuandalieni kwajili ya
kuhakikisha afya ya mwanamke inakaa sawa sawa kwa kulingana na matatizo tajwa
hapo juu.Sasa unapochukua jukumu lakutumia hii program yetu unapata manufaa
yafuatayo;kumbuka mwili haukuandaliwa kwa ajili ya madawa wala miti shamba bali
lishe sahihi na virutubisho muhimu ili mwili uweze kujilinda wenyewe;
1. Kuondoa
sumu zote ndani ya mwili na kuimarisha mifumo yako ya mwili ili kufanya kazi
ipasavyo katika hormone na mifumo yake Kuimarisha hormone zinazohusika na mfumo
wa uzazi wa mwanamke
2. Kudhibiti
tatizo la uzito mkubwa
3. Kuboresha afya ya uzazi ya mwanamke
4. Kuondoa
mafuta mabaya mwilini ili kuruhusu damu ipite sawasawa kwenye mishipa yako ya
mwili
5. Kudhibiti matatizo yote ya mzunguko wako wa hedhi
Kama
nilivyokwisha sema afya nyema hujengwa na ulaji mzuri wa vyakula hivyo programu
hii inaohuo uwezo wa kuimarisha afya yako na kudhibiti hizi vimbe kwenye kizazi
kwasababu inavirutubisho muhimu ambavyo vingefaa kutumika kil siku kwenye
maisha yako.Sasa kwa yeyote atakae itaji huduma hii wasiliana nasi kwa namba
+255752304044 call
/whatssap
+255716211801 call only





0 Comentarios