ELIMU YA NGUVU ZA KIUME


ELIMU YA NGUVU ZA KIUME.

Nimekuwa nikikutana na maswali pamoja na malalamiko mengi katika pande za jinsia mbili tofauti yaani kwa wanawake wakitoa malalamiko juu ya wapenzi wao kuishiwa au kupungukiwa kwa uwezo wa tendo la ndoa, na wanaume kusema kuwa sina furaha kabisa na tendo na muda mwingine hupelekea kushidwa kabisa kushiriki tendo la ndoa na mojawapo husema huu ugonjwa umenitesa siku nyingi sana, sasa leo niweke wazi huenda watu wataelewa vizuri kwa kifupi kuishiwa/kupungukiwa nguvu za kiume siyo ugonjwa bali huwa kuna viababishi vinavyopelekea kuishiwa kwa nguvu za kiume
Maumbile ya uume yameundwa kwa vitu mbalimbali kama vile misuli, mishipa n.k na maumbile ya uume hayana tofauti na mashine jinsi zilivyoundwa kwa mitambo mbalimbali ambapo mtambo mmojawapo ukishindwa kufanya kazi vizuri kwenye mashine au kiwanda kinashindwa kuzarisha bidhaa mbalimbali na kupelekea kutokuendelea kwa shughuri nzima, Katika upande wa nguvu za kiume ni vitu gani vinavyopelekea kuishiwa/kupungua kwa uwezo wa tendo la ndoa.
VISABABISHI VINAVYOPELEKEA KUISHIWA KWA UWEZO WA TENDO LA NDOA.
Hapa yakupasa uwe mfutiliaji mzuri wa afya yako ili uweze kupata suruhisho vizuri juu ya afya ya mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume na usianze kulalamika kwa mtu mwingine kumbe chanzo kikubwa ni wewe.
·         Kupiga punyeto/kujichua (masturbartion). Hiki kimekuwa kilio kwa vijana wengi na watu wazima wengine kwani na wao wamepitia katika hatua ya ujana na kufanya kitendo kama hiki, kitendo hiki mtu hufanya yeye binafisi ili kujipa raha mwenyewe kumbe ndo anajimaliza
·         Maradhi mbalimbali kama vile presha, kisukari, kupalaz,vidonda vya tumbo na bahati nzuri yote hayo madhara nimeelezea kwenye nakala zilizopita kuwa zinachangiaje kuadhiri nguvu za kiume.
·         Kuangalia video au picha za ngono. Changamoto hii inawakumba watu wengi kwa wanawake na wanaume kujikuta wako waadhirika wa kuangalia picha za utupu na wao wenyewe bila kujua kua zinaadhiri uwezo wa kihisia kifikra na ndo maana unaweza ukakutana na mwanamke ukawa unashindwa hata kusisimka mwili wako kuwa uko na mpenzi wako.
·         Kutokufanya mazoezi. Hili nimekuwa nikilizungumzia sana karibia kila nakala yangu kuwa kufanya mazoezi na unywaji wa maji mengi ni muhimu Zaidi kwani husaidi mzunguko mzuri wa damu na homoni kuwa mzuri Zaidi na upande wa uume unahitaji uwe na ujazo mzuri wa damu.
·         Uzito mkubwa. Mwanaume mwenye uzito mkubwa au mwenye kitambi asilimia kubwa huwa na tatizo la upungufu wa uwezo wa tendo la ndoa kwani hukosa balansi ya kujihimili vizuri katika tendo na wengi wao huwa watu wa kusizia sinzia tu kwa sababu hewa haipiti vizuri kwenye mwili au mishipa
·         Msongo mkubwa wa mawazo
·         Kutokupumzika vya kutosha au kutokulala angalau masaa 8
·         Uwekaji wa simu mfuko kwa muda mrefu Zaidi ya masaa 4
·         Tumbo kujaa gesi au kutokupata choo kuligana na idadi ya jinsi unavyokula
·         Tezi dume kupata kansa au kutanuka
·         Umri mkubwa kuanzia miaka 40+ hii nayo nimeilezea kwa kina jinsi inavyosumbua watu wengi wenye umri huu
·         N.k
UTAJUAJE KUWA NGUVU ZAKO ZINAPUNGUA
Hizi ni mojawapo ya vionyeshi vya kuwa unatatizo la nguvu za kiume
i.              Kuwahi kufika kileleni
ii.            Kushindwa kurudia tendo na kuchukua muda mrefu
iii.           Kukosa hamu ya tendo la ndoa
iv.           Kuchoka sana baada yay a tendo tu na kichefuchefu
v.            Uume kisimama kwa uregevu
vi.           Kuchelewa sana kufika kileleni
vii.          Kukosa pumzina uchangamfu wa mwili katika tendo
viii.        Kuhisi maumivu baada ya tendo la ndoa au wakati wa tendo

KOSA KUBWA WANALOFANYA WANAUME WENGI
Kama ilivyo desturi kwa wanaume wengi kuwa anapokuwa na tatizo hawezi kumwambia mtu wake au mwenzi wake au hata kumwambia rafiki yake wa karibu na kujindai kuwa yeye ni wa kiume anahagaika kiume baadae wengi wao hukimbilia kumeza madawa ya kusisimua mwili ambazo siyo nzuri kabisa kutumia kwa huwa zinakusanya nguvu hata zile ulizokuwa unapanswa uzitumie baada ya miaka 4 unajikuta umezitumia kwa siku moja na kadiri unavyoendelea uwezo wako hushuka kila kukicha na mwisho wake kushindwa kabisa na mara nyingi sasa ikifika wakati kama huu utawasikia kwa wake zao wanasema tuko bize siku hizi na kazi za kiofisi kube wako kwenye bar wanakunywa pombe ili muda uende wakute wake zao wamelala wasiwasumbue.
TUMAINI LA KURUDISHA UWEZO NA FURAHA YA FAMILIA KATIKA TENDO UPO.

Kumbuka kuwa jambo la faragha linafaida nyingi sana katika afya ya kwa pande zote kwa mwanaume na mwanamke baadi ya faida za kuridhishana katika tendo ni
_ kupunguza msongo wa mawazo
_ kwa mwanamke humfanya awe na sauti nyororo na ngozi nzuri yenye mvuto lakini asizindishe kiwango
_kuongeza kwa uwezo wa kufikiria
_kwa mwanaume humpa afya nzuri ya tezi ndume n.k
Sasa kampuni imetuamdalia program ya bidhaa na zikadhibitishwa kuwa ndio tumaini lenye kuleta faragha katika familia faida yah ii program ni
·         Inakupa uwezo wa kuimarisha misuli mzunguko wa damu vizuri kwenye uume
·         Inakushusha msongo wa mawazo
·         Inakupa uwezo kusimamisha uume pale unapohitaji tendo siyo kuboost tena
·         Inasaidia kuondoa mafuta mabaya mwili n.k
Unaweza kuwasiliana ili upate elimu Zaidi na kwa upana
+255752304044 whatssap/ cally

1 Comentarios