AFYA YA TEZI DUME.(prostate)

AFYA YA  TEZI DUME.(prostate)

     Kwa uzoefu tu wengi wanaona aibu kuzungumzia hali zao pengine ni swala la utamaduni au ni swala la maumbile, ila ni kukosa ufahamu wa elimu juu ya hiki kiungo cha tezi dume kinapoaza kuleta shida kwa mwananume kukaa kimya kwa kujiona wewe ni mwanaume hadi uumie ndo useme yakupasa mwanaume ulimike ili usije ukawa mhanga wa kuwasumbua wengine unao kaa nao, wengi wao hukataa na kujiona kuwa wako sawa na kuwaficha hadi wake zao na wengi wao huona aibu kabisa kuzungumzia hili swala la tenzi dume.                                                                  
fuatilia mafunzo haya kwa kina ili ujue kuanzia kwa nini mwanaume anatezi dume ila mwanamke kwa nini hana tezi.
·          Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni moja ya tezi kama tezi nyingine mwilini, Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.
Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na hivyo mbegu za kiume kubaki hai kwa muda mrefu na unaostahili.   Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu na kasi ya utanukaji wake hutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine, Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi kwa sasa.
Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 3 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.
NINI MAANA YA UKUAJI WA TEZI DUME?
    Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa likijitokeza kuanzia miaka zaidi ya 45+.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, na mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. VISABABISHI VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi hasa katika kipindi hiki cha sasa. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.
Vifuatavyo ni vyanzo vinavyoweza kupelekea kutanuka kwa tezi dume
- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo ( Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Sababu za kimazingira (Ethnicity)

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Mtu mwenye tatizo katika tezi huanza kwa dalili ndogo ndogo sana,
Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 5 hadi10.

Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).
Saratani ziko aina (stage) nne.
       Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki bali Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.
Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako
mzima wa uzazi wa mwanaume.
a) Dalili za awali
- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
b) Dalili za mtu aliyeathirika
- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa , au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kuja gesi mara kwa mara

IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA
      Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama.
Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo 

SULUHISHO KWA TEZI   ILIYOTANUKA
a) Suluhisho Lisilopendwa
Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.
  Lakini hapo awali vipimo vya haraka unaingiziwa kidole sehemu ya haja kubwa ili kuangalia kuwa kama tenzi imetanuka nah ii ndo kingezo kikubwa kwa kwa mwanaume kutokusema kuwa anatatizo la tezi dume kwani hakuna mwanaume anaependa kuingiziwa kidole sehemu ya haja kubwa. Japo kwa sasa wanazidi kuboresha vipimo unapimwa kwa damu ila gharama yake wengi wanashidwa kuimudu.

Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:
Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali kama madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.
2. Madawa
“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”
– Johnathon Waxman, Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London
3. Upasuaji

Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”
– Johnathon Waxman
Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

SULUHUSHO LA KUDUMU
  Tafiti zinaonesha kuwa kutanuka kwa Tezi dume kwa asilimia kubwa husababishwa na upungufu wa madini na virutubisho ambavyo mwili unahitaji ili kuweza kuboresha afya ya Tezi na uzazi.
Upungufu huu hupelekea kwa kiwango kikubwa kuongezeka kwa kasi ya kutanuka kwa tezi na hatimaye Kansa ya Tezi dume.
Hivyo basi program maalumu ya virutubisho (Supplements) imeandaliwa
Kwa watu wenye changamoto hii na pia kwa watu wanaohitaji kuboresha na kuongeza vitamins,Madini ambayo huondoa athari na dalili za kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume(Nguvu za kiume).


Virutubisho hivi sio dawa wala mitishamba.
Zimetengenezwa kutoka kwenye organic materials au vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika mwili wa mwanaume ili kutengeneza afya bora na nadhifu.
Virutubisho hivi vina mchanganyiko wa vitu vifuavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.
·         Kwa pamoja husaidia katika kulinda utanukaji wa tezi dume
  Kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya Bacteria na virus ambao huweza kupelekea cancer ya tezi dume.
 >> Husaidia katika kuweka sawa kiwango cha sukari mwilini, kama vile uwepo wa SELENIUM katika virutubisho hivi husaidia katika kuboresha utendaji kazi wa insulini mwilini. Hivyo kuthibiti kiwango cha sukari na sumu mwilini.
>>Husaidia katika kuondoa Cholesterol mbaya mwilini na hivyo kufungua mirija ya kibofu na hivyo kupata haja ndogo vizuri.
>>Husaidia katika kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume na kuboresha utendaji kazi wa mirija ya Tezi na hivyo kuimarisha utendaji kazi wa tezi.
>>Huondoa maumivu, na kuongeza nguvu.
>>Husaidia katika kuupa mwili nguvu, kuongeza uzalishaji tishu katika mwili
Kuboresha mzunguko wa damu, vitamins na madini
Na kuongeza kiwangi cho uzalishaji mbegu kwa mwanaume.
Matumizi bora ya Virutubisho ni muhimu sana katika kuboresha Afya ya uzazi kwa mwanaume na kuondoa athari za Tezi Dume.
Hivyo ukumbuke kuwa tezi dume kila mwanaume anayo basi ni vyema kuirida kwa ubora Zaidi ya mboni ya jicho kwani ndo sababu ya kuitwa kidume unaweza ukawasiliana na kampuni moja kwa moja kupata elimu pamoja nah ii program ya virutubisho ili kuleta hesima ya ndoa.

                           +255752304044 whatsapp/call

 NOTE: KUFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME SIYO SULUHISHO BALI UTAKOSA HATA UWEZO WA TENDO LA NDOA NA KUPITA MKOJO BILA KUJIJUA.

17 Comentarios

  1. Tutapata wapi hivyo virutubisho tuje kununua na ni Bei gani kwa dozi

    ReplyDelete
  2. It is a very nice article for us asante mwl wetu Mungu akubariki

    ReplyDelete
  3. I have learnt a lot on enlarged prostate gland through this paper, thank you very much, but, please, would you let me and other readers learn more on what types of additives or minerals that are needed in our bodies that can help us to fight against this problem?

    ReplyDelete
  4. Habari Dr, hivyo virutubisho gharama yake ni Bei gani? Je naweza kupata kwenye maduka ya kawaida?

    ReplyDelete
  5. Miye nipo katavi, Nina tatizo la tezi dume, nimeacha kufuatilia matibabu baada ya litakuwa kukatwa nyama ya tezi dume(sindano maalum) inayopitishwa kwenye njia ya mkojo,kwa hiyo ninatumia sawa za kutibu mfereji wa mkojo, kwa Sasa natibu Moto kwanza, nikimaliza, nikufuate,baada ya kupata Bei.

    ReplyDelete
  6. Mbona hujibu maswali yetu? Virutubisho hivyo vinaitwaje? Na ni bei ngapi? Na ninavipataje?

    ReplyDelete
  7. Tunakushuru sana Dr.Kazimili kwa moyo wako mzuri wa kujitolea kutusaidia wanaume wenzio katika tatizo hili hatari la tezi dume Mungu akubariki sana Mimi binafsi nakuelewa kwanini unapata tabu kujibu maswali ya Bei na upatikanaji wa virutubisho ila nakuomba kwa wale ambao tunataka kutumia Kama Kinga tuomba utuelekeza namna ya kupata na hata Bei ili tujipange kununua Kinga ni Bora kuliko kusubiri tatizo tafadhari tusaidie kwa Hilo.Ahsante

    ReplyDelete
  8. Elimu nzuri sana.Wengi tunaumwa tunahitaji tiba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. karibu wasiliana nasi kwa namba zetu 0752304044

      Delete
  9. Nashukuru Sana kwa kutuelimisha kuhusu tatizo hili la tezi dume maana linawatesa watu wengi ila gharama iko juu Sana wengi tunashindwa kuimudu.

    ReplyDelete