HIZI NDIZO SABABU ZINAZO WAFANYA WATU HAWAPONI VIDONDA VYA TUMBO


                     FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO
                                     (PEPTIC ULCERS)
UTANGULIZI
Hii imekuwa changamoto kubwa sana kwa watu wengi halafu kibaya Zaidi wengi wao hawajitambui mapema kama tayari wako nahii tatizo la madonda ya tumbo,na hatimaye kupelekea matatizo makubwa Zaidi kiafya.Katika afya ya binadamu mfumo wa njia ya chakula ukiusisha tumbo ni muhimu sana katika kuhakikisha kila mtu anapata afya sahihi na kitu ambacho ulikuwa ukijui ni kwamba Zaidi ya asilimia 75% magonjwa yote huanzia tumboni,na hii ni kwasababu afya zetu huimarishwa na vyakula tulavyo hivyo kama mfumo mzima wa njia ya chakula hauko vizuri basi inakuwa hatari kubwa sana ya kudhoofisha mwili na afya kwa ujumla.Baada ya kufahamu hayo ni muhimu sasa sisi sote tuelewe nini tunamaanisha hasa tunapozungumzia vidonda vya tumbo hasa jinsi vinavyoweza kutokea,dalili zake na madhara kwa ujumla ili uweze kudhibiti tatizo hili kukupata na kuliondoa kama uko nalo tayari.Tuanze na maana harisi kwanza nini maana ya vidonda vya tumbo.
NINI MAANA YA VIDONDA VYA TUMBO NA HUSABABISHWAJE
Vidonda vya tumbo hii ni ile hali yakuwa na vidonda au michubuko kwenye ukuta (membrane) mwembamba na laini sana watumbo lako la chakula.Naviko vitu kadhaa ambavyo huweza kusababisha changamoto hii ya vidonda katika tumbo lako la chakula,sasa vifwatavyo ni mambo au sababu zinazopelekea mtu kupata vidonda vya tumbo;
·         Helicobacter pylori;huyu ni bacteria ambae ndie anaeleta maambukizi haya ya vidonda vya tumbo inasemekana kuwa bacteria huyu tunaishi nae tumboni kwa kipindi kirefu tu lakini mwisho wasiku huperekea madhara makubwa sana katika kuathiri ukuta wat umbo lako la chakula na hatimaye kupata vidonda vya tumbo.
·         Matumizi ya madawa ya kuondoa maumivu; tumekuwa tukiishi na kuyapa sana kipaombele hasa haya madawa ya kikemikali sasa kitu ambacho unapaswa kukifahamu sasa ni kwamba huu utumiaji wa madawa ya kupunguza maumivu kama Panadol,ibuprofen,pamoaja na asprine kwa Zaidi ya asilimia 50% huchangia kupata vidonda vya tumbo,na imekuwa mazowea sasa kichwa kikiuma kidogo unatafuta dawa ya maumivu bila kujua unazidi kuhatarisha afya yako.
·         Mtindo halisi wa kimaisha;hapa tunazungumzia sasa maisha ambayo umeyachagua kuyaishi kwa namna moja au nyingine huweza kuchangia kupata vidonda vya tumbo kama utumiaji wa madawa mfululizo,msongo mawazo na hasira kila wakati,kutumia vyakula vyenye acid nyingi wakati tumbo liko empty au halina kitu kama machungwa,kahawa,lakini pia huvutaji sigara nao unachangia pia wewe kupata vidonda vya tumbo.Hizo ndizo sababu au makundi matatu makubwa humfanya mtu aweze kupata vidonda vya tumbo ingawa ziko asilimia chache sana watu hupata vidonda vyatumbo yabila sababu kufahamika lakini pia kwa asilimia chache watu hupata vidonda vya tumbo kwasababu ya kurithi.Sasa ni muhimu hapa kuwa makini na afya yako ili kuakikisha unadhibiti ipasavyo tatizo hili, kama nilivyosema mwanzo wengi huwa ningumu kufahamu kama wako na hili tatizo kwa pamoja sasa hebu tuone nini hasa dalili za vidonda vya tumbo ili ukiwa nazo basi uchukue hatua kwa haraka;
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Ukiona unadalili hizi tajwa hapo chini moja au Zaidi kwa muda kadhaa na ukuwai kufikilia wala kuwaza kama labda kuna uhusiano na vidonda vya tumbo basi ni vyema ukachukuwa hatuwa mapema;
-Maumivu makali ya tumbo upande wa juu hii ni hali ambayo inawakuta watu wengi sana na mara nyingi maumivu haya yaweza kuwa kuisi kama tumboni kunawaka moto na kuungua sana au yakawa ya kuchoma Zaidi basi juwa wazi kuwa hizo ni dalili za mwanzo za vidonda vya tumbo.
-Kiungulia hii ni ile hali yakupata kiungulia na tumbo huwa lina jaa gas sana kiasi kwamba hupelekea mtu kushindwa kujiskia vizuri kwa tumbo lake na mfumo mzima wa njia ya chakula,sasa kitu kinachopelekea wewe upate kiungulia ni kwasababu tu ya kiwango cha acid kinachozalishwa mwilini mwako ni kingi na hakitumiki ipasavyo hivo ile acid inaunguza sehemu zile zenye vidonda au michubuko katika ukuta wat umbo lako la chakula.
-Kupata kichefufu,kutapika,na kuharisha hapa tunazungumzia kupata mchafuko wa njia hii ya chakula moja kwa moja naivo kupelekea kupata kichefuchefu na kukosa hamu ya kula kabisa kwasababu ya kutapika na kwenda chooni kwajili ya haja kubwa ambayo kiasi kwamba inakumaliza mpaka nguvu za mwili.Pia hapa katika kutapika kama vidonda vyako vimesha kuwa kwa kiasi kikubwa utaona mtu anatapika damu basi ujue kuwa hatua uliyofikia unaitaji utatuzi wa uhakika.
-Kujihisi tumbo limejaa wakati unakula hapa hupelekea mtu kushiba mapema nawakati alikua na hamu ya chakula lakini chaajabu ndani ya masaa matatu baadae anapata njaa kali basi ukiona hali hiyo maana yake kwamba tayari tumbo lake la chakula limekwisha athiriwa na vidonda na malanyingi watu wa namna hii huwa wanasumbuka sana na tatizo la tumbo kujaa gesi.
-Ukosefu wa choo kubwa hali hii hutokana na tumbo au utumbo wako wa chakula kushindwa kufanya kazi ipasavyo na kupelekea hata ukipata choo basi inakuwa ya tabu au kukosa kabisa na wengine kupata choo kama cha mbuzi kigumu ,na kiuharisia unatakiwa upate choo kubwa kulingana na idadi yamlo ulao kilasiku,lakini imekuwa kawaida kwa mtu kupitiliza Zaidi ya siku mbila kupata choo kubwa.Sasa hizo zote hapa ni dalili ambazo kwa namna moja huashilia kuwa ukouwezekano mkubwa wa kuwa na tatizo hili la vidonda vya tumbo,lakini pia ni muhimu sasa kufahamu kuwa haziishii tu kuwa dalili au viashiria vya madonda ya tumbo bali pia hupelekea madhara makubwa sana katika afya yako yafwatayo hapo ni matatizo au madhara yatokanayo na vidonda vya tumbo.
MADHARA YA KUWA NA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo ni tatizo kubwa sana tu katika afya za watu walio wengi sio Tanzania tu bali hata nchi zilizoendelea,na ndio maana tunaona watu wana kufa wengine hufanyiwa mpaka oparesheni kwasababu ya vidonda vya tumbo ,na mfumo huu wa njia ya chakula ndio husemekana kuwa uko na bacteria wengi sana wote wazuri na wabaya sasa unapofanyiwa oparesheni basi unapelekea wadudu hawa wabaya kujidharisha kwa wingi Zaidi na kuhatarisha afya yako,yafwatayo ni madhara ya tokanayo na vidonda vya tumbo:
1.    Kujifunga kwa utumbo mkubwa(obstruction) vidonda hivi vya tumbi vikizidi huanza kuathiri pia utumbo mkubwa na mdogo ambapo pia hupelekea madhaifu katika muundo mzima wa njia ya chakula kuanzia kuvunjwa vunjwa na kuweza kunyonywa vizuri kwenye utumbo mdogo na hatimaye taka mwili zitolewe kwa njia ya haja kubwa sasa utumbo unapojifunga unakuwa huwezi tena kuufanya huu mtiriko uenda ipasavyo na mwisho kupelekea adhari nyingi kiafya.
2.    Kutoboka kwa utumbo baada ya ukuta watumbo kupata vidonda ile acid inayozalishwa tumboni mwako ili kuwezesha uvunjwaji wa chakula ili kiweze kufanya kazi ipasavyo hutumika ndivyosivyo na kupelekea utumbo mkubwa kutoboka na kushindwa kufanya kazi ipasavyo.
3.    Vidonda vya koo pamoja na kutoka damu tunasema njia ya chakula huanzia mdomoni mpaka njia ya haja kubwa hivo hawa bacteria ambao husababisha vidonda tumboni ndio mwisho huja kuathiri mpaka kwenye koo lako la chakula na tunaona watu wanapoteza maisha kwasababu ya cancer ya koo,lakini pia kupata choo yenye damu hii yote kwasababu ya madhara ya vidonda vya tumbo kama hatuwa za haraka na uhakika hazikuchukuliwa
4.    Kupungua uzito tunasema mfumo wa njia ya chakula ndiko tunakoipatia afya njema sasa kama tumbo halifanyi kazi ipasavyo basi swala la afya njema litakuwa ni kitendawili, na ndio inapelekea watu kupoteza uzito au kupungua uzito siku baada ya siku kiasi kwamba wengine hufikiri labda mtu yule kaathirika kumbe mfumo tu haunyonyi lishe ipasavyo kutoka kwenye vyakula ulavyo kilasiku.Hivyo kama nilivyoweza kusema mwanzo mfumo wa njia ya chakula ambao unahusisha tumbo na ndilo ambalo linachangamoto kubwa sana ya kupata vidonda vya tumbo,hivyo ni muhimu sasa kuchukua hatua na suluisho sahihi ili kuweza kujenga afya imara na kama ujuavyo afya iko mala moja tu hivyo ni muhimu kuithamini,sasa tunaelekea kipengere cha mwisho kuhusu vidonda vya tumbo.

SULUISHO KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO
Hili tatizo la vidonda vya tumbo limekuwa tatizo kubwa na baadhi ya watu wanaamini kuwa halina suluisho la moja kwa moja kulingana na jitihada walizofanya huko na hali halisi walio nayo kwasasa.Sasa hii leo ni taarifa nzuri kwako,nia yetu ni nzuri kuwasaidia watu wote waweze kuishi na afya imara na zenye ubora,na unachopaswa kujuwa ni kwamba afya ya mwili inatokana na vyakula nasio madawa wala mitishamba na ukiona mtu anafanyiwa upasuaji basi juwa wazi hilo siyo suluisho ila nikujaribu kuokoa mtu huyu asije akapotea uhai,Tumekuandalia suluisho sahihi la vidonda vya tumbo kwa alieathirika na mwenye kuitaji kudhibiti tatizo hili lisimpate kwa kutumia programu yetu muhimu ambayo imeandaliwa na mchanganyiko wa vyakula muhimu katika kujenga afya bora wakati unapochukua jukumu la kuitumia hii program unapata manufaa yafuatayo
1.    Kuondoa athari za sumu zitokanazo na madawa ya kikemikali ambayo kwa namna moja au nyingine ulishatumia kwenye maisha yako kama suluisho
2.    Kudhibiti aina yeyote ile ya maambukizi iwe kirusu,bacteria,fangasi au vimelea vya magonjwa kama minyoo
3.    Kuweka uwiano mzuri wa bacteria wazuri na wabaya kwenye mwili wako
4.    Kuongeza na kuimarisha kinga ya mwili wako
5.    Kuboresha mfumo wako wa njia ya chakula pamoja kudhibiti tatizo la kupata choo kubwa kwa shida
6.    Kudhibiti tatizo la kujaa gesi tumboni
7.    Kusaidia matumizi sahihi ya kiwango cha acidi kinachozalishwa mwilini ili kusaidia kuvunjavunja chakula na kitumike ipasavyo
Sasa kwa yeyote ambae anaitaji huduma hii yakutumia program yetu awasiliane nasi kwa namba za simu +255752304044 Whatssap/call
                    
NOTE; Bidhaa hizi siyo sawa, pia kwa program yoyote ya ulcers ni muhimu uitumie angalau kwa miezi 3. Etc

2 Comentarios